Search results

  1. H

    vyeti kwa wale wanaotaka kufungua kampuni ya wakala wa bima

    habari zenu wakuu, ninatoa msaada wa cheti cha bima kwa wale wanaotaka kufungua biashara ya wakala wa bima. kwa anehitaji anipm.
  2. H

    Serikalini na private, kupi kuzuri kufanya kazi?

    Nenda serikalini kaka, kwanza una security ya kazi kama wadau walivyosema hapo, pia sio mshahara tu bali kuna kazi nyingi nje y ofisi ambayo kwa level yako ya mshahara p/d ni 65,000/= pia kuna vitu kama extra duty ambayo kwa level yako ni 35,000/=, mi najitolea kwenye halmashauri so naona watu...
  3. H

    nisaidieni wanaforum, huu ni utapeli ama ndo kazi zilivyo?

    kweli mkuu hiyo namba uliyoiweka hapo (0657-105692) ndo hiyohiyo iliyonitumia sms na nimejaribu kuangalia hiyo kampuni hapa Tanzania sijapata address zao ila ipo uingereza na nilianza kupata wasiwasi jinsi hata tangazo lenyewe lilivyo na hata leo pia nimeangalia zoom bado lipo, deadline ni kesho...
  4. H

    nisaidieni wanaforum, huu ni utapeli ama ndo kazi zilivyo?

    habari zenu wanajamii, mm nimemaliza chuo tangu mwaka 2013, kuna halmashauri moja najitolea ila nahangaika sana kutafuta kazi, sasa wiki hii niliona tangazo la kazi la kampuni moja kupitia zoom na jinsi ya kutuma application ni lazima ujisajili na zoom hakukua na address yyt ya kampuni...
  5. H

    Vyeti vya kufungulia wakala wa bima

    bigurube sio nia yangu kuja kushindana hapa kwa kuuza vyeti ambacho nimekihaingaikia miaka 3 pale ifm, nimesema msaaada sio nauza, na ndo mana hapa natoa nachokijua kuhusu bima kwa wale wote wanaotaka kuingia kwenye biashara hii, nina zaidi ya kutoa msaada wa cheti.
  6. H

    Vyeti vya kufungulia wakala wa bima

    nipo manyara kwa sasa ila napatikana anytime,dunia ni kijiji k1 ss, nimetoa mawasiliano hapo juu kwa mkachu, you are welcome sister for anything abt insurance.
  7. H

    Vyeti vya kufungulia wakala wa bima

    Ni simple tu dugu pangaukela, kua agent wa insurance ni kufanya kazi kwa niaba ya principal wako ambae ni kampuni ya bima, kazi yako ni kuwatafuta wateja na kuwauzia product za kampuni, na wewe unapata malipo kwa commission, kwa kifupi productza bima zimegawanyika sehemu kuu 2, aina ya kwanza ni...
  8. H

    Vyeti vya kufungulia wakala wa bima

    nimejaribu kukuchek hupatikani, my no 0689-471325
  9. H

    Vyeti vya kufungulia wakala wa bima

    hakuna kinachoshindikana, kila kitu hua kina mwanzo mgumu, kama huyafahamu vizuri mambo ya bima, wapo watu ninaoweza kukuconnect nao wakakusaidia, we tafuta mtaji tu.
  10. H

    Vyeti vya kufungulia wakala wa bima

    habari zenu wakuu, ninatoa msaada wa cheti cha bima kwa wale wanaotaka kufungua biashara ya wakala wa bima. kwa anehitaji anipm.
Back
Top Bottom