Search results

  1. L

    Mafuta ya KY-Jelly: Ni yepi matumizi yake sahihi?

    Kwani wewe uliinunua kwa matumizi gani? na huyo mwanamke aliyeanzisha msala kwa mumewe anaifahamu vizuri kwasababu aisifiaye mvua imemnyea kwani kama hajawahi kuiona au kuitumia asingeng'aka kabisa ila upande wangu nina mashaka na huyo mwanamke
  2. L

    Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

    Au utakuta unaingia faragha na demu halafu anaanza kukupa masharti mara aaah! hivi mi sikai unamwambia basi kaa hivi aaah! mi sikai yaani kila staili unayojaribu kumwambia akae ili umpe raha nawe upate anazingua yaani sipendi balaa kwani inakata stimu kabisa au utakuta demu mwingine masharti...
  3. L

    Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

    Yaani sipendi nimeingia kwa faragha halafu binti anaanza kuniambia nimechoka mara sijui sijisikii vizuri mara naumwa yaani sipendi balaa
  4. L

    Wapenzi kuoga pamoja

    Ngoja aendelee na ubishi wake kwani akioga na mkewe atakufa au atapungua? mambo mengine bhana!
  5. L

    Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

    Hakuna kitu kinanikera ninapokuwa kwenye majambozi kama pale ninapotaka mambo halafu mwenzangu ananiambia acha nipumzike kwanza au anaanza kuniambia shida zake yaani huwa inanikata stimu sana
  6. L

    Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Uliamua mwenyewe kununua mbuzi kwenye gunia sasa unaomba ushauri, unafikiri kwa hatua uliofikia tutakushauri nini
  7. L

    Suluhisho: Kuangalia picha za ngono na kupiga punyeto

    Wewe ulioleta uzi nawe umeacha kujichua?
  8. L

    Natafuta mwanaume atakaenioa kwa ndoa ya kanisani

    Wa humu watamu eeh! unasema nyota unayo lakini bado unataka wa humu ambao huwaoni mmmh! hii kiboko
  9. L

    Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

    Hata ukizaa nae pia akuite jina lako au jina la mmoja wa watoto wako?
  10. L

    Wanaume wewe ndo umetongozwa na mwanamke, nini mtazamo wenu katika hili?

    Mimi namchukilia mwanamke kuwa ni mtu kama mtu mwingine naye anapenda kwahiyo nitampa nafasi
  11. L

    Mafuta ya KY-Jelly: Ni yepi matumizi yake sahihi?

    Kwanini huyo mwanamke anawaka? ukiona hivyo ujue anaijua na matumizi yake anayajua pengine kashawahi kuitumia "aisifiaye mvua imemnyea" haiwezekani akomae hivyo kuulizauliza kama haifahamu kazi yake na kama hajawahi kutumia kama ni mimi kibao kingegeuka
  12. L

    Kujichua ni dhambi duniani na kwa Mungu

    Je wanaofanya kwa kutumia kondom huwa hawaui au wanaofanya kwa starehe zao je?
  13. L

    Mwalimu: Mwanafunzi wangu wa kike ananitaka kimapenzi.. Kila siku hukaa mbele tena kihasara

    Kwahiyo hizo boxer ulizopewa unazivaa? Kama ndivyo ndio limbwata lenyewe kwani kitendo cha kuzipokea tu kinakufanya umfikirie yeye tu kila unapoziona au unapozivaa na kila unapomuona yeye mwenyewe lazima na wewe mzee mzima anaanza kutengemeza tent, chezea zawadi wewe? huyo binti katumia utashi...
  14. L

    Nimjibu vipi anielewe?

    Mbona majibu yapo wazi sana na unayomwenyewe, ila waweza mwambia unajua halafu utamwambia shilingi ulioichezea kwenye tundu la choo imetumbukia ndio shida
  15. L

    Hii ndio story ya mchepuko wangu baada ya mke wangu kunisamehe

    Mkeo akichepuka ukigundua na wewe msamehe kama alivyokusamehe wewe.
  16. L

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Wanawake wanamatatizo ya kutofika kileleni mapema nao dawa yao ni nini?
  17. L

    JamiiForums imenipatia mke mwema

    Kuna jamaa alitaka kujua mnawezaje kupata mke kupitia JF
  18. L

    Ninapitia wakati mgumu sana, msichana anataka kuvunja familia yangu

    Ungeomba ushauri kabla hujala tunda sasa ushaharibu ndio unaomba ushauri yaani ni kitu cha ajabu sana, yaani tukio hilo linatimiliza ule usemi usemao "majuto ni mjukuu" samahani lakini
Back
Top Bottom