Kuna makala ya BBC kuhusiana na athari za hizi apps za mikopo nchini India, iliangazia matumizi mabaya ya hizi ridhaa walizopatiwa kwenye simu za watu; ikiwa ni pamoja na kusoma sms, kuona orodha ya namba za watu kwenye simu yako na kufikia picha zilizopo kwenye Gallery.
Watu wamejiua, kupoteza...
Upo sahihi to a degree kwa sasa Airtel ina operate mkongo wake unaoitwa 2Africa. Ttcl inasimamia ule wa zamani wa SEACOM. Tigo kwa kununua Zantel wanaooperate (pamoja na TTCL kwa kuwa nao ni investors) mkongo wa Eastern African Submarine Cable System (EASSy).
Japo kwa sasa wanaweza kuwa...
Kwa kuweka hiyo Power bank, Airtel kweli wamefanya jambo jema sana. Sasa ngojea nisubiri 5G ifike eneo langu niwaibukie nichukue hicho kifaa niachane na Supakasi ya 20mbps. Maana nimeogopa kuchukua 5G modem za Vodacom kwa kuwa umeme ukikatika ndiyo basi tena huwezi endelea na kazi.
Dah! Ninatamani kuchukua hiyo tena kifurushi cha 50 mbps (maaana haya maswala ya mkataba siyapendi) , lakini ninashindwa kuacha supakasi yangu ya 4G kwa sababu umeme ukikatika modem inaendelea kupiga kazi.
Kama unataka kutest 5G vizuri, nenda Mlimani City, ingia getini nenda hadi Mlimani City hall -- utaona 5G node ya Vodacom; pale usiposhika 5G basi jua simu zako haziko supported bado.
I really don't know what kind of elaboration is required; as the option to enable Volte exists on basically every modern-ish iPhone (iPhone 6 or later).
Just go to Settings > Mobile data > Mobile data options > Voice & Data and then toggle the VoLTE option.
Kweli kwa mitandao ya 4G Tigo hana mpinzani kwenye spidi ya Internet yake, hii ninaongelea kwa experience yangu hapa ninapoishi (Kama mtoa mada anavyoongelea eneo lake analoishi).
Kwenye peak hours (muda ambao watu wengi wametoka maofisini na wapo majumbani wanatumia Internet kwenye simu zao...
Wengine wanaweza kuwa na njia tofauti na yangu, lakini kwa Payoneer hakikisha anwani uliyoandika kwenye website ya Payoneer na ile kwenye Bank Statement haina "P.O.Box" inapaswa iwe kwa mfano:
Michael Adam
Mbezi Salasala
Ilala
Dar es Salaam
Tanzania
Nenda uongee na Customer care wa benki...
Nimeangiza simu na tablets kadhaa na sijawahi kulipishwa hiyo VAT ya 34%. Nililipa 18% kisha ikaja ule mwaka ambapo kodi iliondolewa na nikawa nalipa 3000 na kitu hivi (gharama ya kupokea mzigo posta) na mara ya mwisho nililipa 18% + gharama ya Posta.
Hiyo VAT iliyotajwa sielewi wamepata wapi...
Mara kadhaa huwa ninajiuliza: "Hawa jamaa wa forex wamepotelea wapi?" sasa naona mmerudi kwa nguvu tena mmejiboresha kwa kuja eti na A.I. Hahaha.
Anyway, mimi ninaamini kwamba binadamu ni kiumbe mchoyo sana na kama kungekuwa na shughuli inayoweza kumuingizia kweli Return on Investment ya...
Baada ya kupokea sasisho la 16.4 nimeamua kufanya Speedtest 4G vs 5G kwa kutumia mtandao wa Vodacom.
Tunaelekea pazuri sana tukipata vifurushi vizuri hii nchi itakuwa raha sana. Baadaye nita test net ya Tigo 5G maana 4G+ yao hatari pia.
Kiukweli sijaona tofauti sana kati ya Speedaf na Posta, maana nimeangiza mizigo 2; wa kwanza ulitumwa kupitia Speedaf na wa pili kupitia Singapore post.
Mzigo wa kwanza nilipigwa na Speedaf nisogee maeneo fulani mtu wa delivery akanipatia mzigo wangu.
Mzigo wa pili (kesho yake) Posta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.