Search results

  1. M

    Natafuta mke wa kuoa baada ya kujuana vizuri Mwaka 2017

    Habari Wakuu,mimi Mwanaume Natafuta Mke Wakuoa Mwenye Sifa Bora,asie Kua Na Mtoto,mweupe,elimu Dgree Ya Pili,mwenye Hofu Ya Mungu Kisawasawa,awe Mwajiriwa Au Kujiajiri Umri Miaka28-34,anaejua Thamani Ya Mahusiano Na Ndoa Kwa Ujumla,din Yeyote,kabila Lolote Bt Mhehe Atapewa Kipaumbele.Ni Pm Kwa...
  2. M

    Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mke wa kuoa, mimi najitegemea, ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30. Mke nimtakae awe miaka 28 nakuendelea.
  3. M

    Iam looking for a woman

    Hi, [SIZE=3]Iam a Tanzania man looking for woman who will marry me.
  4. M

    Nimhitimu wa chuo natafuta mke wa kuoa, lakini bado sijapata kazi

    Habari wanajamvi Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29, niliehitimu chuo kikuu mwaka jana ambae sina ajira,pia natafuta mke wa kuoa ambaye atakua tayari kusaidiana wakati wa shida na raha.Ewe mwanamke kama upo tayari ni pm kwa mawasiliano zaidi.Kwa sasa najishugulisha na shuguli ndogo ndogo...
  5. M

    Natafuta ajira

    Namanisha Inayendana Na Nlichosomea,
  6. M

    Natafuta ajira

    ni graduate wa uhasibu ktk chuo kichopo tz,natafuta kazi yeyote ile nitafanya.Mtazamo Wangu Nikukuza Nakuboresha Kampuni Au Tasisi Ili Iwe Ya Viawango Nakuongeza Uzalishaji,ni Team Work Mzuri,transparency,naongea Na Kila Mtu Ndan Na Nje Ya Tasisi Au Kampun. Tafadhali Wana Jf Nisaidien Wadau Wangu,
  7. M

    Mke anaitajika haraka sana

    Mkuu Navigezo Vyote Kuoa,mke Sio Sura Ni Tabia,
  8. M

    Mke anaitajika haraka sana

    Thanks rubi,
  9. M

    Mke anaitajika haraka sana

    Habari wana Jamiiforums ni mvulana umri 28, naishi kibaha,ni graduate bado sja ajiriwa, ila kuna sehem najitolea, natafuta mke wakuoa elimu form 4-masters, awe wakawaida sina ubaguzi wa kabila, dini wala rangi.atakaye kua tayari anipm ili baadae tusaidiane kutafuta kaz kuendesha maisha yetu.
Back
Top Bottom