Search results

  1. T

    Baada ya ACP Kingai kuonja joto la kutoa ushahidi, tutegemee nini toka kwa ushahidi wa IGP Sirro?

    Ingekuwa phd ya uwongo sawa hiyo ya sheria mbele ya Kibatala itakuwa PH
  2. T

    Kwenye mambo yanayohusu maslahi ya Wanyonge ni ngumu Sana kuwasikia Wapinzani

    Mbowe ana akili sana- Jamaa kafungiwa akaunti zote za benki na biashara zake nyingi kuharibiwa lakini bado aliweza kwenda kuangalia fursa za uwekezaji Dubai na SA
  3. T

    Dr Mwigullu: Bajeti ikishapitishwa na bunge ni Sheria, sitaweza kubadili chochote kwenye Tozo!

    Kwa hiyo na zile bajeti zinazopitishwa na utekelezaji wake ni chini ya 50% ni uvunjifu wa sheria?
  4. T

    Tetesi: Tozo ya Muda wa Maongezi yaiva, kuipuliwa muda wowote na serikali ya Mama

    Hawa jamaa wataturudisha enzi za redio call
  5. T

    Dola bilioni 400 ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?

    NI sawa 2300 x 400= TZS 290,000 Billion au TZS 290 Trillion
  6. T

    Katiba Mpya haipo kwenye Ilani wala ahadi za CCM, Tusimsumbue na tusimuwekee Rais Samia maneno mdomoni

    Majambazi kama sabaya kuwepo kwenye ofisi za umma ipo kwenye ilani yenu
  7. T

    Taja "character" uliyemchukia kupita kiasi katika filamu au tamthilia

    JPm R.I.P, Pole pole na Kabudi kuliko hawa bora msukuma wa Geita, wamedhalilisha sana tasnia ya elimu
  8. T

    Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

    Kama hakuna kauli kama 'don't think you are free to that extent" mengine ni ya kawaida
  9. T

    DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

    Wanaume wa Dar wanamikwara balaa
  10. T

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

    Yes- Mtu anayekuteua kwenye nafasi fulani anashindwa nini kukupa maagizo? Kuna kitu hakiko sawa- Mahaka, Bunge na Serikali kikatiba ni mifumo inayojitegemea- Job juzi anawatisha wabunge kuwa wasipopitisha bajeti ya serikali rais anaweza kuvunja bunge.
  11. T

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

    Halafu bado kuna watu wanasema katiba mpya si kipaumbele chao- Haya yaliyotokea katiba ikiboreshwa hayatakwepo tena
  12. T

    Ipi tathmini yako kuhusu siku 100 za Rais Samia madarakani?

    Phd ya Kemia ukikariri formular you are almost through-
  13. T

    Aliyetufikisha Uchumi wa Kati ni Kikwete na siyo Magufuli, acheni kudanganya!

    Kwa uchumi wa kati aliyecheza karata vizuri ni JK na Mkapa yule mzee wa chemistry mchango na uelewa wake ni mdogo kwenye uchumi
  14. T

    ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

    Masalia mengine ya mwendazke wapo wanakula maisha mitaani naamini wengine wameshatoroka na nchi
  15. T

    Hongera CP Hamduni Salum kwa kumpigia simu Elioth Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi

    System za TZ siyo nzuri- Hivi kwanini mpaka agizo litoke juu kama tukio limetokea katika eneo lako? Kwa mfano jana mama katilia shaka gharama za ujenzi wa jengo BOT Mwanza- Sasa kwa ishu kama ile mpaka mama awaagize tena TAKUKURU?
  16. T

    Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

    Naona wafuasi wa Bashite wnajificha sana nyuma ya Issue ya Sabaya, saa yake bado ila ikifika hakuna wamkusaidia
  17. T

    Spika Ndugai: Wabunge msitambulishe waume au wake za watu Bungeni

    Agenda zimeisha sasa kilichobaki ni yatokanayo na ubunge
Back
Top Bottom