Search results

  1. Change_it

    Wanaume siku hizi wamekuwa kama wanawake ushauri

    haya ndo matatizo ya njoo tiushi
  2. Change_it

    Airtel yaweka mgomo baridi?

    mbinu zao ili watu waingie airtel money,huu ubunifu wao naona wameungundua hv karibuni. mm nimehamia tigo baada ya kujaribu kuingiza vocha niunge internet yangu ikanigomea tokea jana.
  3. Change_it

    Sexual Scandal: After having satisfied his sexual thirst, A Tanzanian Soldier in DRC wanted to flee

    Waache kupiga kelele wakati wanajua JWTZ wanakuja kuwanyang'anya tonge, ndo maana kelele nyingi.
  4. Change_it

    M23 yaitisha tena Tanzania

    huyu anatoa vitisho ukiangalia tweets zake zote inaonyesha kama ni wa FARDC na sio M23 Kazarama Vianey | LinkedIn
  5. Change_it

    ushauri wenu watafuta ajira wezangu kwa hili

    welcome to forex trading world and make tax free money
  6. Change_it

    Forgotten sources of Income Tax

    unataka life lizidi kuwa tight nn? hicho kidogo wanachokusanya TRA wakikikusanya vizuri na serikali ikizuia matumizi mabaya ya fedha na ufisadi inatosha.
  7. Change_it

    Forex trade

    Daily Quote You only live once but if you work it right, once is enough. (Joe E. Lewis)
  8. Change_it

    Utamsaidiaje Huyu????

    hii mbinu niliisikia nilipokuwa kanda ya ziwa sijui kama ni kweli, yaani hapo itabidi ajiachie mamba wamkamate maana wanasema kabla ya mamba kupiga kiteo lazima kwanza waupeleke nchi kavu then aende akawashtue wenzake ndo waanze kula, ila inabidi akikubana na meno yake usijitupetupe unatulia tu...
  9. Change_it

    Serial killer in Dar!

    duh,sasa hv adabu itakuwepo kati ya watu wa pikipiki na wenye magari kwa kuhofia kupigwa risasi,by the way sio jambo jema ila ubabe ulikuwa umezidi barabarani. ma-serial killer wengi ni watu walioumizwa kwa hiyo wanaamua kufanya revenge, inabidi tuwe waangalifu sana huko barabarani.
  10. Change_it

    Nini kifanyike ili kukuza uchumi tz?

    kwanza mabadiliko yaanze katika fikra za watanzania wenyewe na sio kutegemea sana vyama vya siasa vituletee maendeleo wale ni wawakilishi tu. Nguvu kubwa iko kwetu sisi wenyewe kwasababu wale hawapai na mabawa mpaka kufikia kuwa viongozi wa nchi, ni sisi ndo tunawachagua na wanatoka katika...
  11. Change_it

    Tabia za wanaume kulingana na namba ama size za miguu yao, nyayo zao

    duh, mtambuzi ameku-recruit kwenye haya mambo nini? hii style mpya kabisa,size ya miguu mi naomba thread inayofuata utupe nondo zinahusu size ya dushelele.
  12. Change_it

    Bujibuji hata kama unapenda mziki hapa umezidisha!!!!!!

    stripper wa kiume, bila shaka wadada watukuwa wengi kwenye hii club.
  13. Change_it

    Crdb accounts updating

    acha wafunge tu huduma zao mbovu
  14. Change_it

    Unaweza kunipenda bila kuniona?.....

    seeing is believing, utapendaje bila kumuona.
  15. Change_it

    Jinsi ya kufungua akaunti ya paypal na usalama wake

    kama umeamua kufika hizi level sahau credit card za kibongo ni miyeyusho tupu unaweza ukaaibika bure
  16. Change_it

    Forex trade

    best recommended is 100$ kuhusu deposit: bank wire transfer-minimum deposit 300$ https://secure.instaforex.com/en/deposit-preview.aspx?m=wiretransfer deposit via credit card cheki hii link https://secure.instaforex.com/en/deposit-preview.aspx?m=cards
  17. Change_it

    Forex trade

    Trading platform Start earning money right now! 1. What is InstaTrader? InstaTrader is the most dynamically developing trading platform based on MetaTrader 4. InstaForex trading platform is provided for free, including MultiTerminal and its mobile version for Windows...
Back
Top Bottom