Search results

  1. K

    William Ngeleja atangaza nia ya Urais kutoka viwanja vya BOT jijini Mwanza

    Mtangazania wakili Msomi William Ngeleja keshaingia ukumbini, akiambatana na mkewe na binti yake, pamoja na mpambe wake wa karibu Dr. Festus Limbu, mbunge wa Magu. Meza kuu pia amekaa chief mkuu wa Wasukuma, mzee Kafipa na mwenyekiti wa wazee mkoa wa Mwanza, mzee Masalakulangwa. Matangazo...
  2. K

    Wakili wa ESCROW, Gabriel Mnyele aliyetuhumiwa kumuua mkewe ashinda rufaa

    Tuesday, December 28, 2010 9:48 PM Mnyele alifutiwa adhabu hiyo mbele ya Jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa Jaji Salum Massati, Mbarouk Mbarouk na Benard Luanda baada ya kutengua hukumu ya Mahakama Kuu juzi. Mahakama ilifuta hukumu hiyo baada ya kuridhika na utetezi wa mawakili wa...
  3. K

    Tanzia: Ben Kiko afariki dunia

    Tanzia Aliekuwa Mtangazaji maarufu wa radio Tanzania (TBC) mzee BEN KIKO amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo 31/10/2014 kwenye hospital ya jeshi mirambo Tabora. R.I.P BEN CHANZO: TBC
  4. K

    Polisi waua Tabora

    Kijana mwenzetu Amani Msimbe mfanyabiashara wa matunda soko kuu la Tabora, ameuwa na POLICE wakituo kikuu baada ya kumpa mateso makali Mithili ya jambazi sugu. MSIMBE ambae alikamatwa tarehe 24 baada ya kumpiga mdeni wake , rafiki zake Wanasema Wakati anakamatwa aliwasumbua police kwavile...
  5. K

    Tanzania Voted Best Country for African Safaris

    an online marketplace for African safari tours, conducted a two-year-long study, gathering reviews from more than 1,000 safari-goers and reputable industry experts to see which African country is best for African safaris. With a score of 4.8 out of 5 stars, Tanzania took the spotlight as the...
  6. K

    Askari wetu wa kwanza kufa drc..tuwe wamoja.. M23 wameshindwa kabla ya kuanza

    BARAZA LA USALAMA Hapo tarehe 28 Machi, Baraza la Usalama la UN kwa kauli moja lilipitisha Azimio 2098, ambalo lilisafisha njia kwa chombo cha kwanza cha kimataifa cha kikosi cha mashambulizi. Mamlaka ya kikosi hicho cha kuingilia kati, itakayoundwa na vikosi vya askari wa miguu kutoka...
  7. K

    Mahakama ya Rufaa yamrejeshea ubunge wa Igunga Dr. Dalali Peter Kafumu

    Mahakama ya Rufaa imemrejeshea ubunge wa Igunga kwa mbunge wa CCM Dr.Dalali Peter Kafumu, uamuzi huo umetolewa punde tu hapa Tabora. Picha baadae kidogo.
  8. K

    Waliotaka Katiba mpya kumbe wanacheza kombolela tu!

    “IF I have told to choose between my country and my party I will choose my country”, ndivyo anavyosema Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Mwesiga Baregu. Alikuwa akimaanisha nini? “Kama ningetakiwa nichague (kitu) kimoja kati ya nchi yangu...
  9. K

    JWTZ washatua Congo - M23 wanapiga kampeni kuwajengea chuki kwa wananchi

    Kwa mujibu wa muandishi alie na wasi hao Diana Katabarwa kwenye Blog yake ya congo DRC NEWS anamnukuu kiongozi wa kisiasa wa M23 Mr. Bisimwa akiwambia wakaazi wa North Kivu kuwa majeshi ya Tanzania na South Africa nimajeshi dhalimu yaliyo jaa rushwa na hayawezi kuibadili Congo ila yamekuja...
  10. K

    Tanzania will not back down from DRC intervention

    M23 rebels withdraw through hills on November 30, 2012, after leaving the eastern Democratic Republic of the Congo village of Karuba. [Phil Moore/AFP] M23 military chief Brigadier General Sultani Makenga (centre) gestures to some of his officers near the eastern Democratic Republic of...
  11. K

    USHAWISHI wa Mohsin Abdallah kwa serikali ya CCM

    USHAWISHI wa Mohsin Abdallah kwa serikali ya CCM ni upi? au juaye atujuze na tusio jua. pichani Mohsin akiwa anasalimiana na JK
  12. K

    Tabora: Mdogo wa Kigwangalla ahamia CHADEMA

    Mdogo wa mwisho wa mbunge wa Nzega mheshimiwa Hamis Kigwangala anayejulikana kwa ina la LUMOLA STEVEN KAHUMBI leo amevua MAGAMBA na kuvaa MAGWANDA rasmi BAADA YA KUCHOSHWA na BLAH BLAH za CCM. Lumola pamoja na MAGAMBA wenzie wa zamani wamekabidhi kadi za CCM na kukabidhiwa zile za CHADEMA na...
  13. K

    Askari polisi wanne waliofanya mauaji ya kinyama Urambo warejeshwa kazini 'kimtindo'

    HALI HALISI YA MAUAJI YA HASSAN MGALULA: Askari Polisi hao wakati wakimchukua kwenye usafiri wa Bajaji ya mizigo huku wakiwa wamemkanyaga bila kujali hali mahututi aliyokuwanayo marehemu Hassan Mgalula mara baada ya kipigo kikali kilichosababisha kifo chake hapo baadaye,INASEMEKANA KUWA...
  14. K

    Aibu ikulu

    Blog ya IKULU inayo endeshwa na kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu, haina hadhi ya kuwa blog ya ikulu na ni aibu kwa ikulu na taifa kwa ujumla. Blog hy ya first office ina background color ya kijani iliyo ivaa na maandishi yanayotumika nimeusi tii,, kiasi kwamba huwezi kusoma mpaka uya...
  15. K

    Police walio ua raia Urambo, watolewa jela na kuhamishwa kinyemela!

    Katika hali ya kushangaza, jeshi la Police mkoani Tabora limewatorosha askari wake waliofanya mauaji tarehe 29 mwezi wa pili mwaka huu wa 2012 na kuwahamishia mikoa mingine. JINSI TUKIO LILIVYO RIPOTIWA NA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 3/3/2012 ASKARI POLICE WAKAMATWA KWA MAUAJI jeshi la polisi...
  16. K

    Vituko vya ikulu

    Leo kwenye mazishi ya mke wa mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Arusha mjini God Mwalusamba, kijana Waziri Mbeyu dereva wa familia ya rais kikwete, ametoa salam za rambirambi kwa niaba ya Rais na mwenyekiti wa CCM taifa! ilhali alikuwepo Dc wa Arusha mjini Raymond Mushi, mwenyekiti wa CCM wilaya...
  17. K

    hodi hodi uwanjani

    pamoja sana
Back
Top Bottom