Vituko vya ikulu

kayogo

Member
Sep 15, 2010
75
42
Leo kwenye mazishi ya mke wa mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Arusha mjini God Mwalusamba, kijana Waziri Mbeyu dereva wa familia ya rais kikwete, ametoa salam za rambirambi kwa niaba ya Rais na mwenyekiti wa CCM taifa! ilhali alikuwepo Dc wa Arusha mjini Raymond Mushi, mwenyekiti wa CCM wilaya ya arusha ndg. Kileo, Meya wa jiji la Arusha, mjumbe wa CC BENO Malisa , lakini wote walionekana hawafai kumuwakilisha JK eti kawakilishwa na dereva.
kilichovutia wengi kwenye msiba huo ni mwenyekiti wa kamati ya mazishi mh.GODBLESS LEMA mbunge wa arusha namna alivokuwa akiendesha shuguli hiyo huku wana CCM wakiwekwa kando. huku mfiwa bwn. MWALUSAMBA akisikitika kutokuja kwa rafiki yake kipenzi Prince Ridhiwani Kikwete.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREMU MAHALI PEMA PEPONI
 
Huyu jamaa mbona anapenda sana misiba? Hamna msiba ambao hajatokea....kila mahali penye msiba lazima awepo! Hata kama ni mtu wa kuguswa sana, lakini hii imekuwa too much
 
Ndio mkuu,anahudhuria sana ili zake zikifika apate wasindikazaji lukuki! Teh,teh,teh!
 
Delegation ya aina yake iyo ndo maana nasemaga this is a Special Regime The JK Regime
 
Huyu jamaa mbona anapenda sana misiba? Hamna msiba ambao hajatokea....kila mahali penye msiba lazima awepo! Hata kama ni mtu wa kuguswa sana, lakini hii imekuwa too much

Sasa ulitaka ahudhurie 'Kitchen Party' kwa sana au? MASABURI mengine bwana!
 
Huyu jamaa mbona anapenda sana misiba? Hamna msiba ambao hajatokea....kila mahali penye msiba lazima awepo! Hata kama ni mtu wa kuguswa sana, lakini hii imekuwa too much

Mbona hujasema DC, RC wa Arusha alikuwepo kwenye msiba wa Mr. Ebbo.
Kama kiongozi una muda ni bora kujichanganya na wananchi ili kushiriki mambo ya kijamii.
 
Huyu jamaa mbona anapenda sana misiba? Hamna msiba ambao hajatokea....kila mahali penye msiba lazima awepo! Hata kama ni mtu wa kuguswa sana, lakini hii imekuwa too much

Ni kiongozi wa kisiasa huyo, na waajili wake ni wananchi. Kwa mtazamo wangu, kama anapata taarifa na muda anao basi hapo anafanya vyema kushirikiana nao katika sehemu ya matukia yanayowakuta. Kweli si lazima awepo ila ni muhimu akiwepo.
 
Leo kwenye mazishi ya mke wa mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Arusha mjini God Mwalusamba, kijana Waziri Mbeyu dereva wa familia ya rais kikwete, ametoa salam za rambirambi kwa niaba ya Rais na mwenyekiti wa CCM taifa! ilhali alikuwepo Dc wa Arusha mjini Raymond Mushi, mwenyekiti wa CCM wilaya ya arusha ndg. Kileo, Meya wa jiji la Arusha, mjumbe wa CC BENO Malisa , lakini wote walionekana hawafai kumuwakilisha JK eti kawakilishwa na dereva.
kilichovutia wengi kwenye msiba huo ni mwenyekiti wa kamati ya mazishi mh.GODBLESS LEMA mbunge wa arusha namna alivokuwa akiendesha shuguli hiyo huku wana CCM wakiwekwa kando. huku mfiwa bwn. MWALUSAMBA akisikitika kutokuja kwa rafiki yake kipenzi Prince Ridhiwani Kikwete.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREMU MAHALI PEMA PEPONI

Msiba leo?mbona walizika jana Njiro?
 
Back
Top Bottom