Search results

  1. sijazaliwa

    Nimepotelewa na kijana wangu anaitwa Armstrong Charles Swai

    Kijana wangu kaondoka nyumbani tangu tar 5/5/2018 majira ya jioni na sijui alipoelekea. Nilikuwa naishi nae Gongo la Mboto - Majohe kwa Ngozoma, kwa atakayemuona naomba anijulishe kwa namba hizi 0655 700138, 0716 048473 na 0652 906246 au aripoti kituo chochote cha polisi. Maeneo mengine...
  2. sijazaliwa

    Waziri wa Mambo ya ndani unani wewe!

    Kwa ufahamu wangu mdogo waziri wa mambo ya ndani wa nchi yetu ndiye msemaji wa mambo yote yanayohusu polisi, magereza, uhamiaji na hata usalama wa taifa kama sijakosea sana. mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwenye mkoa wake.... anaweza kuvitumia vyombo vya ulinzi na...
  3. sijazaliwa

    Line ya Tigopesa na M-Pesa zinapatikana

    Nawasalimu nyote. mm nafanya biashara ya TIGO PESA NA M PESA. MWezi wa TISA nafunga hiyo biashara maana kila mtu ninayemweka asimamie ananiangusha. Mwenye uhitaji za hizo line tuwasiliane PM. Asanteni.
  4. sijazaliwa

    Msaada wa kisheria unahitajika

    Hivi ikatokea wachumba wamefunga NDOA bila kupima HIV. Baada ya miezi mitatu kupita mkaenada kupima na kugundua mmoja wenu ni HIV POSTIVE na mwingine ni HIV NEGATIVE.......je sheria inawaruhusu kuendelea kuishi pamoja au inasemaje? ....Msaada kwa Bi NYAU plz CONDA.........!
Back
Top Bottom