Search results

  1. S

    Vifaa vya magari vinapatikana mtandao gani hapa nchini?

    Taa za Corona 1.8 matako ya nyani za mbele na nyuma used na reflector yake bei zake please.
  2. S

    Prof. Kitila Mkumbo, muogope Mungu!

    Yaani Elimu ya Tz inatia shaka ndiyo maana kipaumbele cha Lowassa 1.Elimu 2.Elimu 3.Elimu Msomi ndiyo tunategemea waelimishe jamii lakini.....mmmh!
  3. S

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Tunataka mtu wenye msimamo dhabiti, anayeweza kusimamia kauli zake mwenyewe bila kutetereka.
  4. S

    TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Nasikia hakuwepo, nilifuatia sana kuona kama yupo lakini sikumwona.
  5. S

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    swali kwa Mwakyembe; Richmond inalipwa mpaka sasa,kupitia dowans sasa ni nani analipwa hadi sasa? kwa sababu kampuni ipo na inaendelea kulipwa.
  6. S

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Nashindwa kabisà kumweelewa Mwakyembe kwanini hakusema yote wakati lowasa hakiwa CCM siyo kosa?
  7. S

    Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

    hakuna zomea yoyote acha uongo: weka kaushahidi kapicha vya video
  8. S

    Dakika za lala salama, Mwana mabadiliko umejipanga vipi?

    ofisi nzima ya watu 50 tutampigia Lowasa na ofisi zingine za marafiki zangu tutampigia Lowassa. Mabadiliko
  9. S

    Lowassa Alala kwenye Msiba, hii ni ishara ya dharau kwa wafiwa

    ni wakati wa sala hii picha, unajua wengine hawajui mambo ya sala kwa sababu hawaendi msikitini wala makanisani
  10. S

    Mkutano wa Lowassa Tukuyu mafuriko yanatisha

    net ipo vibaya sana Leo nashindwa ku upload picha
  11. S

    Mkutano wa Lowassa Tukuyu mafuriko yanatisha

    Sijawahi kuona huu uwanja ukifurika watu namna hii kila kona ni maandamano ya watu na nyimbo za Lowassa. Watu wamekesha Lowassa hajafika ila watu tangu asubuhi wapo wamejaa. Kweli mafuriko hayazuiliki kwa mikono.
  12. S

    Reginald Mengi imarisha ITV

    yaani Leo wameboa sana. sasa kwani waongee na azam TV waunge kwao
  13. S

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Ni Uvumilivu; yaani kila uzushi na matusi yote anavumilia bila hata kujibu lolote wala hana jazba kabisà hii ni sifa kubwa kwa kiongozi wa nchi.
  14. S

    Tukimpoteza Lowassa tumepoteza maendeleo

    I will vote for Lowassa. Viva Lowassa
  15. S

    Siku ya leo 14/10/2015 ni mwiba kwa Lowassa

    ##hapaMadilikoTu##
  16. S

    Cement ya Dangote toka Mtwara, itawafikiaje wananchi wa Kigoma na Manyara?

    Hapa Mbeya tayari wameleta matangazo yao ya biashara; wamesema watasafirisha wenyewe na kuuza kwa bei ya chini.Baada tu ya haya Matangazo. Tembo cement ya hapa Mbeya wameshusha bei ghafla kutoka elfu 17 na 16 hadi tsh.14500 na 14000. Tanzania ni wizi mtupu.
Back
Top Bottom