Search results

  1. violeth j kanuti

    Story ipi ilikuvutia zaidi hapa JamiiForums?

    mi nilipenda ya riwaya ``balaa" ilikuwa nzur sana
  2. violeth j kanuti

    Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

    anasema magufuli amekuwa kivutio kwa tanzania,basi angojee watalii kuja kumtalii huyo magufuli,anayeonekana kivutio,
  3. violeth j kanuti

    Sina kinyongo na NEC

    hahahaha itakuwa hatar sanaaa
  4. violeth j kanuti

    Post SMS za vichekesho na utani hapa

    kumbuka mzungu ni mweupe ila anakivuli cheusi. kumbuka hata uwe na shingo ndefu vp huwez kuiona kesho.
  5. violeth j kanuti

    chuo kinachofundsha computer kwa moshi kilicho sajiliwa na serikali

    natafuta chuo ambacho nitajifunza computer corse,ambacho kinapatikana moshi na chenye gharama mafuu,
  6. violeth j kanuti

    Nyumba inauzwa Arusha

    Nyumba ni kubwa, inafaa kupangisha wapangaji wa3 hadi wanne, Nyumba ipo Arusha, anayehitaji ani-PM..
  7. violeth j kanuti

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Nataka kuanza biashara ya m2mba.nimahal gan kwa dar naweza pata nguo nzur za mchanganyiko(watoto ke$me,wanawak e na wanaume.)
  8. violeth j kanuti

    Kibarua wa kike anahitajika

    ushapata?kama bdo nko tayar napatkana majengo
  9. violeth j kanuti

    Natafuta kazi

    kchwa cha habar chaucka,ninatafuta kaz ya kuuza duka au wakala wa mpesa,tgopesa na airtelmoney,ni mkazi wa moshi majengo,ni mschana wa miaka 22 elmu kdato cha nne.natangulza shukran.atakaye nihitaj anpgie O76945O663
  10. violeth j kanuti

    Natafuta kazi

    kchwa cha habar chaucka,ninatafuta kaz ya kuuza duka au wakala wa mpesa,tgopesa na airtelmoney,ni mkazi wa moshi majengo,ni mschana wa miaka 22 elmu kdato cha nne.natangulza shukran.atakaye nihataj anpgie O76945O663
  11. violeth j kanuti

    Riwaya - Balaa

    endeleaaaaa!
  12. violeth j kanuti

    Riwaya - Balaa

    nzuri uiendeleze
  13. violeth j kanuti

    Riwaya - Balaa

    endelea bac
  14. violeth j kanuti

    Ipi yenye faida, kati ya biashara ya kutembeza (kufuata wateja), au ya kukaa mahali kusubiri wateja?

    Hello wana jamii forums Mimi nimejaribu kuangalia jinsi biashara zinavyoenda hususani Moshi,nimeona kuna utendaji wa biashara wa aina mbili kutembeza na nyingine kukaa kusubiria wateja,mfano biashara ya nguo,viatu,ndizi naona kuna wanaotembeza na wanao kaa mahali kusubiria wateja.Ipi ni nzuri...
  15. violeth j kanuti

    Opportunity kubwa kwa wasanii na waandaaji wa filamu Tanzania

    vzuri kama waelewa watakutafuta 2.mi nakutakia kila la heri.
  16. violeth j kanuti

    Natafuta kazi ya msaidizi wa Ofisi

    natafuta kaz ya usaidizi wa usafi maofisin kwa moshi 2.
  17. violeth j kanuti

    Msaada wa kazi

    ingia mtandaoni kuna ajira hyo imetangazwa.google jobs kuna ajira hzo tena hukohuko dar.
Back
Top Bottom