Search results

  1. G

    CHADEMA jimbo la Tunduma kinacheza "total football"

    Hamna bana wewe yaani mkoa mzima wasipate? ila Tunduma nasikia wako vizuri saana kuliko sehemu zote kwa maana aliyesimama yuko vizuri kuliko wa ukawa hivi wanatunduma ya kweli hayo tupeni na wengine tujue jaman
  2. G

    CHADEMA jimbo la Tunduma kinacheza "total football"

    Haaaa ina maana mwaka huu mnamaanisha CCM hawapati kitu jimbo la Tunduma? mbona nasikia huko Tunduma wako vizuri saana maana wamesimamisha kijana machachali na mwenye uwezo mkubwa? daaa kweli km ni hivo ina bidii wajipange saana na kujiandaa kisaikolojia.
  3. G

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Asanten sana wadau maana hata mimi wangu naona manenno mengi hatamki, na ana 1.8year. ila anaelewa kila kitu.anajua dada, mama,baba, kaka, sante, na mengine machache tu mojamoja tu.
  4. G

    Irene uwoya yupo hatarini sana kupoteza ubunge viti maalum

    mmmmh mie napita, hivi kwani unatakiwa kuwa na sifa zipi ili uwe mbunge viti maalum? na huwa kazi yao kuu ni ipi?
  5. G

    Silinde umeamua kupeleka mabadiliko Vijijini, Mungu atabariki kazi ya mikono yako

    Mwaka huu Tunduma ni CCM wanarudisha jimbo kwa hali iliyopo kwa sasa, na kijana machachali na mtenda kazi....... km hatuamini tusubiri oct,2015.maana hadi sasa hali inaonesha wazi ilivo.Mungu ibariki Tunduma
  6. G

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Mimi nina shida nimepitiliza siku zangu ilitakiwa nipate tar 9 june hadi leo sijapata nimechanganikiwa, japo nina uhakika sina mimba maana nilikutana na mme wangu siku ya sita na mzunguko wangu ni siku 26.sasa sijajua nn tatizo nahitataji msaada wenu. nanyonyesha lkn haijawahi kutokea kupitiliza...
  7. G

    Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Mimi nimepitiliza siku zangu ilitakiwa nianze tar 9 june lkn hadi leo sijapata na nina uhakika sina mimba, maana nilikutana na mme wangu bila kinga siku ya sita na mzunguko wangu ni siku 26.naombeni msaana jaman kwa anayejua nini tatizo maana sina raha kabisa.na ninanyonyesha bado lkn sijawahi...
  8. G

    Hali ya Kamanda David Silinde taabani Jimboni kwake-Mbozi

    Yupo mwingine atakayepita jaman wana Momba wala msijali.mtamuona tuuu jembe linakujaaa
  9. G

    Kutokwa na damu bila mpangilio ukeni

    mimi nina tatizo ambalo limeanza mwezi wa tisa, mwezi wa tisa nilichoma sindano ikaisha mwezi wa 12 tar 22 sikuchoma tena, mwezi huo wa 12 nilipata siku zangu kawaida ila kwa muda mrefu kidogo nikaenda hospital nikaambiwa ni kawaida ila nilipewa antibiotics, mwezi huu wa kwanza nilpata siku...
  10. G

    Hedhi ya mabonge

    Asanten wote kwa maelezo yenu Mungu awabariki
  11. G

    Karibuni wanaohitaji ushauri wa kiafya na maswali kuhusu afya

    Kuna rafikiangu ana tatizo la hethi, alijifungua tar 1/5/2014 na baada ya siku 40 kupita alianza hedhi kawaida imeenda vizuri tuu, lakini kuanzia mwezi wa kumi mwaka jana ikakta tena na mpaka saizi hajapata hedhi tena, alienda kwa docor akapima km ana mimba lkn hakuwa nayo lakni doctor...
  12. G

    Hedhi ya mabonge

    Habari ya asubuhi wandugu Mimi ni mama wa mtoto mmoja, Jaman mwenzenu kama nilivouliza mara ya kwanza kuhusu sindano ya uzazi wa mpango ambayo nilichoma mwezi wa tisa mwaka jana na iliisha tar 22 dec, 2014. Lakni baada ya kuisha sikuchoma tena niliachana nazo ili nitumie njia ya...
  13. G

    Tabia za kujibu text wanawake walizonazo zinazokera

    pole kwa yote, hilo sio wanawake tuu bali hata wanaume wapo wengi tuu, kwahiyo ni tabia ya mtu na sio jinsia, binafsi huwa nakwazika, maana mtu anakuwa km kadharau ulichoandika
  14. G

    Centre nzuri ya cpa review-dar

    Habari ya kazi bandugu, naomba kuuliza kwaanayejua kituo kizuri kinachotoa review ya CPA kwa dar es salaam me natarajia kuanza final stage, naomba msaada wenu, kazi njema
  15. G

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Jaman wadau mwenye matokeo kamili ya jimbo la Momba-Tunduma-Mbeya
  16. G

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Wakuu vipi jimbo la Momba-Mbozi magharibi-Tunduma huko? mwenye matokeo atujuze jaman.
  17. G

    Nini sababu ya mtoto kushtuka shtuka usiku

    Asante sana, ngoja nikafanye hiyo kazi leo nikirudi, barikiwa saanaa
Back
Top Bottom