Search results

  1. jaxonjaxon

    INAUZWA Jipatie kisimbuzi cha Startimes cha dish kwa 79,000/= tu

    Karibu upate Kisimbuzi (decoder) Cha Startimes Cha dish kwa 79,000 tu. Unapata mwezi mmoja bure. Kifurushi kikiisha bado utaendelea kutazama channel zote za nyumbani bure. Ukilipia Utafurahia tamthilia nyingi na movies mbalimbali. Pia mpira ligi ya hispania, Italy, ujerumani, Europa league na...
  2. jaxonjaxon

    Tunatengeneza Mikanda ya Gypsum

    Asilimia kubwa ya nyumba zinazojengwa Sasa hivi zinapambwa kwa bidhaa za gypsum kwa namna mbalimbali, kwa wauzaji wa vifaa vya ujenzi(wenye hardware) karibuni kupata bidhaa za mikanda, Kona, Maua, vipopo, stick nk kwa Bei ya kiwandani. Tunapatikana Kibamba Dar es salaam Pia tunaweza kukuletea...
  3. jaxonjaxon

    Pride xpress: tunasafirisha mizigo mikubwa na midogo sehemu mbalimbali

    PRIDE XPRESS ni kampuni inayotoa Huduma ya Pick up and Delivery iliyopo Kinondoni mwanamboka jijini Dar es salaam. Kwa vifurushi vya ndani ya Dar es salaam na mizigo yoyote kwenda nje ya Dar es salaam. Tupigie 0743 306 523 au 0656 72 75 52. Karibuni
  4. jaxonjaxon

    Natafuta kazi

    Kama unahitaji kujengewa Banda au mabanda ya kufugia mifugo nitafute, ama kazi yoyote ya ufundi...hasa ujenzi na uselemala. 0766 57 40 68. Karibuni
  5. jaxonjaxon

    Wapinzani wanajipanga watoke vipi

    Baada ya mpeperusha bendera wa CCM kupatikana, tena katika hali ya mshtuko na mshangao, kwa vile kawaida ya upinzani ni kupinga tu bila kusifia hata kidogo hata kama kuna mazuri, naona saivi wamejichimbia kufukua nondo za kumponda mtahiniwa. Niwashauri tu waje na hoja ambazo ni stong na fact...
  6. jaxonjaxon

    Msaada namna ya kupata result slip

    Jamani naomba mnisaidie, Mdogo wangu kamaliza form four mwaka Jana, anahitaji result slip ili aitumie kutafuta vyuo, shuleni kwao(yupo kijijini) hazijatoka bado. Je naweza kuipata wapi?
Back
Top Bottom