Search results

  1. Kete Ngumu

    Bakhresa Company upande wa television mnatunyanyasa Watanzania kwa vifurushi vya kulipia

    Naomba niwaulize hivi kifurushi cha 17,000/= ni channel zipi za maana mnazotuuzia? Azam 1, Azam 2, sinema zetu, UTV, MBC Plu Piwer na KIX? Ktk hizi chanel ni ipi mnaona kwamba ni chanel itakayobeba zingine kuendana na thamani ya pesa yetu? Mmechukua league yetu ila mipira yote mmeweka kwenye...
  2. Kete Ngumu

    Msaada wa shule nzuri za wasichana kidato cha kwanza Arusha na Moshi

    Wakuu kwa hisani ya Wazazi wote wanaotaka kupeleka mabinti wao ktk mikoa ya Arusha na Moshi kujiunga na kidato cha kwanza 2024 tunaoma kujulishwa Shule nzuri ktk mikoa husika. Shule inaweza kuwa ya mchanganyiko Boys and Girls. Iwe private, ada isizidi milioni 3. Natanguliza Shukrani...
  3. Kete Ngumu

    Kuhusu kutofungua maduka Jumamosi za kila mwisho wa mwezi na athari zake katika taifa na familia

    Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar Mama yetu mpendwa Samia Hassani Suluhu sisi wafanyabiashara tunakuomba uondoe/utengue marufuku ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi maduka kufunguliwa saa nne. Mh Rais hili katazo liliwekwa kwa madai kuwa wafanyabiashara wawe wanafanya...
  4. Kete Ngumu

    KILEMBA: Dhuluma/ uporaji/ unyang'anyi kwa wafanyabiashara wapangaji katika majengo ya Kariakoo

    Serikali au Wizara husika angazieni kwa kufuatilia uhujumu uchumi unaoendelea katika soko kubwa kabisa Tanzania la Kariakoo. Utaratibu ambao sio rasmi ila unafuatwa upo hivi, Kariakoo kwa mtu anaetaka kuanzisha biashara. Kwanza kuonana na madalali na kuwaambia unataka kufungua biashara gani ili...
Back
Top Bottom