Kukubalika kwa CCM kuna sababu kuu tatu
Chama kina sera nzuri
Mgombea wake anakubalika na ana mvuto
Kimuundo na historia ya kutetea wanyonge na kuleta maendeleo.
Sera za CCM ni zile ambazo zinaangalia matatizo ya jamii kama vile kutatua kero za barabara, shule , maji, umeme, ajira na...
Nachukua fursa hii kukupongeza kaka yangu Mtu wa pwani. Hawa Chadema wana ndoto za alinacha . Hivi Hawafahamu kuwa mgombea wao Dr SLAA ameshapoteza umaarufu kwa kiasi kikubwa. Dr JAKAYA KIKWETE ANAPETA.
Chagua Kikwete Oktoba 31, 2010
Mfamaji naona unatapatapa huna jipya inaonekana jinsi ulivyo sawa na wafuasi wako wa chadema. DR JAKAYA KIKWETE ATAPATA KURA ZA NDIO ZA USHINDI OKTOBA 2010.
Vote for Kikwete tarehe 31 oktoba 2010 achana kabisa na wachochezi Slaa na Mbowe kwani hawatutakii mema watanzania
Nawapa salamu wana JF ASUBUHI YA LEO. Nina mengi ya kuwa- hint lakini leo nataka niwataadharishshe na huyu mtu anayeitwa Dr Slaa na wafuasi wake wa CHADEMA. NINAWAAMBIA HIVYO KWA SABABU WAMEKARIRIWA kwa mujibu wa gazeti la mtanzania la leo tarehe 29, Septemba ,2009. imewanukuu Dr Slaa na mpambe...
Narudia tena kuwashangaa wana JF ninyi mnatoka nchi gani? JEE HAMJUI MILA NA DESTURI ,HAMFAHAMU KUWA KUPIGA MAGOTI NI ISHARA YA UNYENYEKEVU ???. DR. Kawambwa kumuombea kura Mhe. JK KWA WANANCHI HUKU AMEPIGA MAGOTI SI TATIZO NI SEHEMU YA MILA NA DESTURI.
CHAGUA CCM CHAGUA KIKWETE 2010
Mnajidanya wafuasi wa CHADEMA eti mnasema SLAA atashinda uchaguzi 2010 hizo ni ndoto za alinacha.
Jakaya Mrisho Kikwete ndiye atakayeshinda tena atashinda kwa kishindo tarehe 31 Oktoba 2010.
Mpeni kura za ndio JK (yes for JK)
Mhe. JK ni mtu watu anawajali kweli walemavu hivi nyie wana JF MNAOSHANGAA ni wananchi wa nchi gani ? Kama ninyi ni watanzania kwanini mnashangaa mtu kujali walemavu,hamjui kuwa hili ni kundi maalum linalohitaji upendo Mhe JK ANALIJUA HILO NDIO MAANA ANAWAJALI WALEMAVU.
CHAGUA CCM CHAGUA...
mimi nawashangaa wagombea wa chadema wanakurupuka hawana dira wala muelekeo mara amejitoa mara anatangaza kurudi huku kweli si kukosa dira????
Chagua CCM mpe kura za ndio DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE TAREHE 31 0KTOBA 2010
Mimi nawashanga wana JF wanaombeza Mhe DK. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kukaa ardhini kuzungumza na mpiga kura wake. Aidha alimshukuru kwa kumpa bajaji. Hii ni utekelezaji wa Ilani kwa kuwajali walemavu. ACHENI HIZO!!!
ANASTAHILI SIFA APEWE KURA NDIO MHE DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE TAREHE 31 OKTOBA...
Nawashangaa wana JF kwa kumshangaa Dr . Shukuru Kawambwa kuomba kura kwa kupiga magoti. Hivi hamjui mila za kitanzania ninyi mmezaliwa wapi??? Mimi sioni ubaya wowote aliofanya Dr Shukuru Kawambwa kwa kupiga magoti kumuombea kura DK JAKAYA KIKWETE .MIIMI NASEMA JK anastahili kura za ndio tarehe...
Mimi nawashangaa wana JF hamna cha kujadili ,bali mnamsakama Ridwan Kiwete alipokemea udini . Nawaomba muende mkasome katiba ya TANZANIA ibara ya 18 imbayo inampa mamlaka kila mtanzania uhuru wa kutoa maoni yake. Mimi nam surpport kwa 100% udini si kitu kizuri tukiuegemea utapeleka Taifa letu...
Miaka 25 ya CCM. Mafanikio mengi yamepatikana katika sekta zote . Watanzania wenzangu mnafahamu hilo. Hivyo hatuna sababu ya kuchelewa tumpe kura za ndio DK Jakaya Mrisho Kikwete tarehe 31 Oktoba 2010
KWA KWELI CCM imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutekeleza mema katika miaka 25. Ninarudia tena ku
waomba watanzania tumpe kura za ndio Mgombea wetu kipenzi cha watu Mhe. JAKAYA MRISHO
KIKWETE tarehe 31 Oktoba 2010.
Nachukua fursa hii kuwaeleza watanzania wenzangu anayefaa kuwa Rais 2010 , huyo si mwingine bali ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete. Ametekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM KWA VITENDO. Hivyo apewe nafasi ya kukamilisha mema aliyoanza na kulisukuma mbele gurudumu la mendeleo .
Yes we can tumpe wote...
MIMI ni mmojawapo wa watanzania ambao tunajua kuonakipi chema na kibaya,kwa kweli kati ya wagomgbea Urais 2010 MHE. DK Jakaya Mrisho Kikwete ndiye anayefaa kuwa Rais kwa awamu nyingine tena kwani amefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika utekelezaji wa Ilani ya CCM. Hayo amefanikiwa kutekeleza...
Ndugu wana JF nataka niwape taarifa nzuiri leo ambayo kila mmoja wenu ataiafiki. Mhe DK Jakaya Kikwete amefanikiwa kwa kishindo utekelezaji wa ILANI. Kuna mambo mengi yanadhihirisha hilo kwani ametekeleza yafuatayo:
1.Shule za msingi zimeongezeka kutoka shule 13,679 mwaka 2005 hadi shule za...
Mfamaji unajidanya mwenyewe..Hivi huijui Serikali iliyopo madarakani. Si nyingine bali ni ya CCM NI KWA ARI MPAYA NGUVU MPRA N KASI MPYA imeweza kutekeleza mipango ya maendeleo Tanzania yote ikiwemo walipokuwa Wabunge wa Chadema. Hivyo siyo kwa sababu wao wapo ndiyo mipango ya maendeleo...
Utafiti uliofanyika hivi karibuni ulibaini kwamba katika vyama vitano makini Afrika CCM ni Namba moja vingini ni: Frelimo (Msumbiji), MPLA (Angola), ANC (Afrika Kusini) na chama cha ukombozi Namibia. Katika utafiti huo ambapo iliangaliwa vigezo mbalimbali ikiwa pamoja na imani ya wananchi juu ya...
kwa kweli umelonga kweli huo ni usanii wa siasa hivi miezi minne atoe Katiba mimi naona anaota hiyo kauli kaitoa tu kama gear ya kuingilia Ikulu. Hatumchagui ng'oo. Kwani anaonesha ana uchu wa madaraka na sio mkweli. NO FOR SLAA 2010
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.