Search results

  1. Mwl. Ambogo

    Je, hao wasichana mnaowaingilia kinyume na maumbile, mtawaoa?

    Hilo neno alilotumia ndio sahihi kabisa dhambi lazima itajwe kwa jina lake
  2. Mwl. Ambogo

    Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    mkataba wa utumishi wa umma unasemaje? aiseeeeeeee
  3. Mwl. Ambogo

    Wanaovaa nembo ya 7 colors of rainbow, ni kutokujua maana yake au ndio mashoga wenyewe?

    Upinde wa mvua ni agano ambalo Mungu aliliweka kati yake na Nuhu baada ya garika na haihusiani na ushoga na mashoga. Be informed Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mwl. Ambogo

    Mafuta mazuri ya wanaume

    Unapopaka mafuta mwilini kila sehemu ya mwili inapaswa kupakwa mafuta kama makalio ni sehemu ya mwili inahusika pia, inashauriwa ukimaliza kuoga kabla hujavaa nguo paka mafuta ukiwa ukiwa uchi ili kila sehemu ipate haki yake Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mwl. Ambogo

    Kirefu cha NMB, nauliza mshahara bado.

    Tayareeeeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mwl. Ambogo

    Vipi update za mazungumzo na Accacia

    Nakuona katika ubora wako hahahahahah Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mwl. Ambogo

    Anasema Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namufikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi

    Mbona umeshamuoa sasa, kama hadi kileleni mnafikishana ndoa ya nini tena!
  8. Mwl. Ambogo

    Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni

    Mmmmmmm hicho unachosema mbona yeye hajakisema
  9. Mwl. Ambogo

    Mshahara na pesa za kujikimu ajira mpya za walimu 2017

    Hahahahhahahaha wala hata mie sio wa hizo ajira mpya ila tu nawaonea imani sana hawa ndugu maisha ya kujitegemea then no mshahara yanatesa sana mkuu
  10. Mwl. Ambogo

    Mshahara na pesa za kujikimu ajira mpya za walimu 2017

    Ndo maana naendelea kukusisitiza kuwa you should think first before talking
  11. Mwl. Ambogo

    Mshahara na pesa za kujikimu ajira mpya za walimu 2017

    Imagine ungekua wewe, think before you talk
  12. Mwl. Ambogo

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo

    Ni mbunge halali wa jimbo la musoma vijijini huyo
  13. Mwl. Ambogo

    Jakaya Kikwete, njia ya muongo na mnafiki ni fupi. Wameshasahau tayari

    Ushauri wako kwao ni upi sasa mbona porojo tu
  14. Mwl. Ambogo

    Adhabu ya viboko ipigwe marufuku mashuleni

    Hata hivyo mkulu keshasema hashughuliki na mambo ya mitandaoni.... walimu tuendelee kuchapa kazi
  15. Mwl. Ambogo

    Natafuta kazi ya kufundisha

    Anataka kufundisha wala hajadharau kilimo
Back
Top Bottom