Search results

  1. richard77

    Naomba tofauti kati ya MP3 VS MP4

    Naombeni tofauti ya MP3 na MP4 unapotaka kudownload nyimbo kwenye simu ipi ni bora? Na kwanini?
  2. richard77

    Zanzibar Nungwi kimewaka

    Zanzibar maeneo ya Nungwi inasemekana hali imekua sio nzuri, kumechafuka yaani risasi na mabomu yanarindima, hii ishu ilianza baada ya adhana kulia saa 11:06 ambayo sio muda maalumu wa adhana, tuombee ndugu zetu waliopo huko Nungwi. === Raia wamedaiwa kuzuiwa kupiga kura hali inayozua taharuki...
  3. richard77

    Kenya ni Masikini kuliko TZ

    Hivi ni kitu gani wakenya wakiifungia tanzania na tz ikataabika, ila sisi watz tunaweza kuwafungia wakenya na wakataabika sana, cha kwanza mipaka, watakufa njaa hawa watu[emoji23]
  4. richard77

    Hebu tukumbushane tulivyosalimika katikati ya kundi la vibaka

    Ngoja nikumbushie stori yangu niliyonusurika kukabwa na vibaka, basi bhana ilikua siku moja ya wikiendi mida ya saa tisa usiku nilikua natoka zangu kula bata, nipo kwenye gari kuelekea home sasa akili yangu ikaniambia nishuke bakhresa kisha nipande boda mpaka home, Nilivyofika maeneo ya kagera...
  5. richard77

    Afanye biashara gani?

    Kuna ndugu yangu anapokea kama milion 7 hivi wiki hii, sasa kaomba ushauri afanyie biashara gani nzuri, ila yeye anasema kaona fursa mkoa wa Shinyanga maeneo ya Kahama, anataka kufungua duka la nguo. Je, kwa wenyeji wa huko Kahama mnaopajua kwa hiyo biashara anayotaka kufanya itafaa au, kama...
  6. richard77

    Msaada kwa wataalamu wa mitandao.

    Wataalamu wa mtandao, naomba kuuliza kuna app yoyote inayoweza kuhifadhi music yako iliyo kwenye simu,? namaanisha nataka kuuza simu na miziki yangu naitaka nihifadhi ili nikinunua simu mpya na install upya app napata miziki yangu yote.
  7. richard77

    Hivi ndivyo jina la Prof. Maji Marefu lilivyopatikana

    Nawajuza tu kuhusu jina la maji marefu lilivyopatikana, huyu jamaa alikimbiza wachawi wengi sana pale tanga(walihama), hasa mitaa ya kwetu pale HALE,. pale kijijini kwetu hale kuna mto mmoja hivi tumeuzoea kuuita Ruvu, huu mto una mamba na mambo ya kishirikina sana,, watu wengi walikua...
  8. richard77

    Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

    Wiki iliyopita ya Pasaka nilipewa taarifa na ndugu yangu sista alieolewa na muhindi, kwamba wanaomba msaada jumatatu saa6 usiku niwapeleke airport wanaelekea india, kwa sababu hawakua na gari, nikawakubalia, ilivyofika hjiyo cku nikawafuata saa 5 ucku, ili waandae mizgo yao kwanza. Ghafla...
  9. richard77

    Nauli ya kwenda Marekani

    Samahan waungwana naomba kuuliza, hivi nauli ya kwenda U.S.A ni Tsh ngapi na taratibu zao zinakuaje? Nataka nikasafishe macho kidogo likizo yangu
  10. richard77

    Alieniacha anataka kurudi kwangu tena

    Mwaka 2012 nilitokea kumpenda msichana mmoja mrembo alikua nesi yeye, mi niliajiriwa kwenye ofc moja hivi hapa mjini, tulipendana sana mpaka kwao alinitambulisha na kwetu pia nilimtambulisha, hamna kitu alichoniomba nikashindwa kumpa, kiufupi hali ya uchumi ililkua vzur kwangu, Mwaka 2013 mwez...
  11. richard77

    CCM imechoka ona hii sasa

    TAFAKARI JADIDIFU:- CCM imechoka, tuitoe! Ikapumzike wajipange upya!! Just imagine👇👇👇 Tanzania ina ukubwa wa eneo la ardhi (total land area) mita za mraba milioni 364,915. Kenya ina ukubwa wa mita za mraba milioni 224,962, Uganda mita za mraba milioni 91,136, Rwanda...
Back
Top Bottom