Search results

  1. mfawidhi

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Ndoa sio ajira....wanawake fanyeni kazi mzalishe mali. Ku*ma sio tiketi ya utajiri. Najua kuna watakaosema mwanamke ana mchango katika kutafuta hela za Mosha. Basi atumie mchango huo kutafuta za kwake mwenyewe kama kweli huo 'mchango' anao.
  2. mfawidhi

    Uzi wa waliowahi kutuma Nauli wakaachwa solembaa....

    Big up sana! Hii ndio inaitwa kurudisha heshima ya kiume! Hela ya mwanaume haipotei hovyo eroo! [emoji1377]
  3. mfawidhi

    Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

    Wajinga sana wale....wametufaidisha sana vijana enzi zetu!
  4. mfawidhi

    Nitafute....(Zawadi nono inakungoja)

    Driver wa Gari namba T51..DMH nicheki inbox....nina zawadi yako! Ku-prove wewe ni muhusika itabidi umalizie namba iliyoachwa wazi hapo na useme ni gari aina gani.. Hint: Ulikua unaendesha kwenye hii stretch: Africana - Njia panda ya kawe leo asubuhi (between 6:40 - 7:00am). Seat ya pembeni...
  5. mfawidhi

    Mji wa Bukoba wakumbwa na msongamano wa watu kuliko kawaida

    Shime watanzania woote muwe mnarejea makwenu kipindi cha sikukuu kusherehekea na jamii zenu! Inaleta faraja sana ikizingatiwa mwaka mzima mmekua busy kuchuma sio mbaya mafanikio mkaenda kugawana na wazee kijijini
  6. mfawidhi

    Kagasheki arusha jiwe gizani

    What a way to tell a man he is not! So many words!
  7. mfawidhi

    Mapenzi ya vichochoroni

    Hadhi zenyewe za kushusha mnazo? Mbwembwe tu na trendy words!
  8. mfawidhi

    Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

    Hahah...huyo sister huyo! Angenifahamu kiundani tu!
  9. mfawidhi

    Nimemkuta mpenzi wangu na mwanaume mwingine

    Mlioanza mapenzi kwa simu za smart mnatutatiza sana...kila kona vilio! Ache haya mambo hadi mpevuke kwanza!
  10. mfawidhi

    Nishaurini: Nimegundua pesa ninazompa anahonga mwanaume mwingine

    Ole wako tuokote maiti kwenye kiroba fukweni! Utatueleza kinagaubaga
  11. mfawidhi

    Nataka kumshtaki mke wangu anilipe fidia kwa kunihujumu muda mrefu

    Hapana aisee...Huyu lazima ni mwanaume wa mkoani! Hawezi kuwa na tope lote hili kichwani halafu akawa wa Dar!
  12. mfawidhi

    Juma Kimaro kuongea na Wanahabari hivi punda!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. mfawidhi

    Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

    Naungana na wewe kwenye hili! Ziwe tofali sidhani kama hata zina ubora unaotakikana. It’s just a matter of time, trust me!
  14. mfawidhi

    Ukikutana na mwanamke huyu utafanyaje?

    Simba gani umejitahidi...taa imewaka unauliza umma kwamba umulike ama uache? Taa uliitafuta ya nini sasa? Pambana na hali yako
  15. mfawidhi

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Aisee...mimi kua Hai ni ushahidi tosha kwamba Mungu yupo. Sihitaji zaidi!
  16. mfawidhi

    BASATA fungieni wimbo wa 'Kibamia' wa Roma na Stamina

    Nimewakubali kwa promo! Mmenifanya nisiejua kuutafuta wimbo na kuusikiliza
  17. mfawidhi

    Vita ya mabwawa, vibamia, upungufu nguvu za kiume na kunuka uke haitaisha kamwe tusipobadilika!

    Umenikumbusha....kuna jamaa yetu alipata demu mkali balaa...hadi tukamuonea wivu, ila akaachana nae kabla ya wiki kuisha. Tukahoji kulikoni...jibu lake: ‘...ninakua kama natom..a ndoo ya maji...nalowa hadi kifuani na mapovu tele...’ [emoji1435]‍♂️[emoji1435]‍♂️[emoji1435]‍♂️
  18. mfawidhi

    Kushuka kwa thamani ya Shilingi: Serikali kupitia BoT yatoa ufafanuzi, yaitupia lawama Bloomberg

    Dadadeki..kanyaga twende baba, kwani tumebisha???
Back
Top Bottom