Search results

  1. mwankuga

    Watanzania Tunaumwa nini? Tumwone Daktari!

    Wasomi Janga la Taifa
  2. mwankuga

    Watanzania Tunaumwa nini? Tumwone Daktari!

    Kwa hiyo wananchi hatuna haki ya kujadili mambo yanayohusu nchi yetu? Tusubiri bunge na mahakama watusemee?
  3. mwankuga

    Watanzania Tunaumwa nini? Tumwone Daktari!

    Umenena yaliyo ya kweli. Ubarikiwe
  4. mwankuga

    Watanzania Tunaumwa nini? Tumwone Daktari!

    Watanzania Tunaumwa nini? Tumwone Daktari! Katika kitabu cha “Let the People Speak”, Profesa Issa Gulamhussein Shivji kuna sehemu anaongelea jinsi ambavyo Utandawazi unavyoua mifumo yetu ya elimu (Hali hiyo ameiita “African Intellectual Deficiency Syndrome” – AIDS). Vyuo vikuu imekuwa kama...
  5. mwankuga

    Humphrey Polepole: Ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe

    Mambo ya ubeuzi yanahitaji nguvu kubwa wakati wa kuongea na kutenda
  6. mwankuga

    Humphrey Polepole: Ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe

    Hakika ni bora mtoa rushwa kuliko kutoa roho ya mtu.
  7. mwankuga

    Humphrey Polepole: Ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe

    HAMPHREY POLEPOLE: IBILISI WA MTU NI MTU MWENYEWE Historia ni mwalimu mzuri sana. Kuna mambo mengi sana tumejifunza kutokana na historia. Nikisoma historia ya harakati za uhuru wa Tanganyika na Afrika huwa napata msisimko usioelezeka. Lakini kwa upande mwingine roho inauma hasa katika kipindi...
  8. mwankuga

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Habari wadau! Naomba mtu mwenye uzoefu katika kuuza dagaa kwa jumla (hasa kanda ya ziwa) anipe uzoefu wa biashara hiyo, ikiwa ni pamoja na kujua upatikanaji wa dagaa, maeneo ambayo dagaa nzuri zinapatikana, soko na changamoto za biashara hiyo. Natanguliza shukrani.
  9. mwankuga

    Roma akiwa Harare, mimi nitakuwa Gaborone

    Hapana, hatuwezi kufika huko. Ushindwe na ulegee
  10. mwankuga

    Roma akiwa Harare, mimi nitakuwa Gaborone

    ROMA AKIWA HARARE, MIMI NITAKUWA GABORONE. Umbali kutoka Harare hadi Gaborone, Botswana ni kilomita 927, sawa na umbali kutoka Mwanza kwenda Mbeya, kupitia barabara ya Dodoma – Iringa. Huu ndio umbali utakaotutenganisha mimi na ROMA. Nimeona bora niende Gaborone Botswana kuliko kwenda Zimbabwe...
  11. mwankuga

    Uzalendo kwa Taifa letu - Tanzania

    UZALENDO WETU NA MAPENZI YETU KWA VYAMA VYA SIASA. Dunia imeagana na nyonga, inakwenda mbio sana. Kuna mambo unatamani yasimame kama yalivyo, yasibadilike. Lakini katu haiwezekani. Kuna watu unatamani waishi milele, lakini bahati mbaya au nzuri tuliumbwa kwa udongo na tutarudi kuwa udongo. Leo...
  12. mwankuga

    Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Huyu Tundu Lissu hafai kabisa. Anasema kitu ambacho wengine hawawezi kusema.Ujasiri gani huu?
Back
Top Bottom