Search results

  1. M

    Ushauri: Nina Mkopo wa TZS Million 5, nataka kununua gunia za Mchele toka Mbeya kuleta Dar, inalipa?

    Ndg zangu Wanajamii, Nimekwama naomba ushauri, nimepata mkopo wa TZS milioni 5, nina wazo la biashara ya jumla ya kununua gunia za Mchele toka Mbeya - Mbalali na kuleta hapa Dar na kuuza kwa jumla masokoni. Ombi langu wenzangu, mwenye ufahamu wa biashara hii kabla sijaianza naomba tafadhari...
  2. M

    Kiwanja kikubwa chenye hati kinauzwa Mbezi Beach

    Wadau, Kiwanja kinauzwa kipo Mbezi Beach ukubwa feet 150/100 kina Nyumba mbili ndani yake, bei yake ni 1B tshs. Tuwasiliane # 0787198379
  3. M

    Msaada: Tathmini ya nyumba Mtoni Kijichi

    Poleni na majukumu wadau! Nina Nyumba yangu jirani na Neruka nataka kuiweka sokoni,tatizo ni tathmini kujua current market value, ni 2bedroomed house ya 1998,ukubwa wa eneo ni miguu 15/17 approx.eneo halijapimwa. Naomba mwanajamii mwenye uelewa please nijuze nifanyeje ili nifanikishe zoezi hili...
  4. M

    Nataka kuuza Nyumba, Mtoni Kijichi

    Poleni na pilika wadau! Nina Nyumba yangu jirani na Neruka, nataka kuiweka Sokoni,tatizo ni kuitathmini kujua market value, ni two bedroomed hse ilijengwa toka 1998 ukubwa wa eneo ni miguu 15/17 approx, eneo halijapimwa. Naomba mwanajamii mwenye kujua please, nijurishe nifanyeje ili nifanikishe...
  5. M

    Laptop on sale

    Toshiba laptop Satellite A100-447 in good working condition is on sale if ur interested contact # 0712 477976. Tshs.300,000/= Processor - Intel(R) Core(TM) Duo CPU, Installed memory (RAM) 1 GB . Picha inagoma mate, ni text # yako ntakurushia kwa whatsapp.
  6. M

    Gari ndogo inauzwa (Toyota Platz 2004)

    Gari ndogo milango mitano, Toyota PLATZ ya 2004 in a very good condition inauzwa tuwasiliane # 0712 477976 kwa maelekemzo zaidi.
  7. M

    Nyumba ya kupanga Mtoni Kijichi

    Wasiliana nami kupitia 0712 477976. Nyumba ya vyumba 2,sebule,jiko bafu na choo haina ukuta bado ila uko mbioni.Asante.
  8. M

    Available house to Rent, Mtoni Kijichi

    Be in touch if u r interested via tigo 0712 477976. It is a 2 bedroom hse, sitting room, kitchen and toilet. No fence but on pipeline.
  9. M

    Nyumba ya kupanga mtoni kijichi

    Nyumba ya kupangisha hipo tuwasiliane via # 0712 477976, vyumba 2,choo,bavu,jiko na sebule, haina ukuta.
Back
Top Bottom