Search results

  1. saidyakub

    Website ya BoT haitendewi haki

    Website ya BOT kuna sehemu haijaguswa kwa miezi 14, na administrators wanakula tu mishahara. Bank of Tanzania: Official Public Holidays in Tanzania Hizi sikukuu ziliwekwa mwaka jana tena January.
  2. saidyakub

    Aliyewahi kushinda PASSO toka CRDB ajitokeze na mimi nimzawadie

    Kuna " promosheni" ya shinda PASSO na CRDB ukitumia SIMBANKING. Hivi kuna aliyewahi kushinda hii promosheni tangu ianze ? Kulikua na haja ya kuudanganya umma wa watanzania kwamba unaweka promosheni halafu gari huzawadii hata mtu mmoja....
  3. saidyakub

    Ningefurahi kuona Dk Cyril Chami anabaki na uwaziri wake

    Kwa yanayojiri General Tyre ningependa nione Dk Cyril Chami anabaki kwenye post yake ili tuone mwisho wa CHC na kina Lema ya Chami kuhusu fedha za mafao ya wafanyakazi zapata Tsh. Bilioni 15 zilizotumbukizwa General tyre zimezamishwa kwenye tumbo la nani na nini hatima yake
Back
Top Bottom