Ningefurahi kuona Dk Cyril Chami anabaki na uwaziri wake

saidyakub

Senior Member
Aug 26, 2010
180
70
Kwa yanayojiri General Tyre ningependa nione Dk Cyril Chami anabaki kwenye post yake ili tuone mwisho wa CHC na kina Lema ya Chami kuhusu fedha za mafao ya wafanyakazi zapata Tsh. Bilioni 15 zilizotumbukizwa General tyre zimezamishwa kwenye tumbo la nani na nini hatima yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom