Search results

  1. Mhandisi Mzalendo

    Ushauri: Alinivumilia wakati sina kazi lakini tukaacha nilipokaribia kupata kazi, nimepata mwingine sasa haachi kunisumbua turudiane

    Mkuu next time usituite "GUYS" achia watoto wa kike wa 2005 huo msemo. Mwanamke rudiana naye kama unampenda.
  2. Mhandisi Mzalendo

    Shukuru Kawambwa kwenye Kashfa ya Udalali wa Viwanja

    Ukiacha uana siasa Shukuru ni PhD holder. Kweli awe dalali wa viwanja? Mtu kahudumu pale UDSM akose hata papatu papatu za mafao ya NSSF awe dalali? Nadhani kwa Tz elimu yetu haijawa saturated hivyo.
  3. Mhandisi Mzalendo

    Shukuru Kawambwa kwenye Kashfa ya Udalali wa Viwanja

    Distric Council officer.... Kawe imejichanganya hapo ila alihudumu kawe pia ila si kwa DSO
  4. Mhandisi Mzalendo

    Shukuru Kawambwa kwenye Kashfa ya Udalali wa Viwanja

    Issue sio udalali hapa. Malori ya mchanga yanaingia kwenye eneo lenye barabara ya kuingia kwake na pia kwenda shule ya sekondari na kufanya uharibifu wa barabara. Yeye Kawambwa na huyo mwingine aliyedhalilishwa DSO Mstaafu wa Kawe na Bagamoyo Madondola waliamua kuweka vigogo vya mnazi ili malori...
  5. Mhandisi Mzalendo

    IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

    Kwamba pato la bilioni 85 ukigawanya kwa watu milioni 60 ni sawa na sh 1400 kwa kila mtu. Uminielewa bwana wewe?
  6. Mhandisi Mzalendo

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Yupo mwenye watoto wawili. Ila hapo kwenye bajeti mtashindwana.
  7. Mhandisi Mzalendo

    Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Tanzania na DRC Kupitia Ziwa Tanganyika (Karema-Moba Au Lagosa-Kalemie)

    Suspension bridge huwa kuna nguzo kila baada ya umbali fulani. Sasa imagine nguzo ikae kwenye kina cha 1,340m hiyo ni kilomita moja kwenda chini. Na urefu wa daraja useme ni km 3 sasa utakua na nguzo ngapi? yani nguzo tu urefu wake unaweza kuwa jumla ya km 20 kwenda chini
  8. Mhandisi Mzalendo

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Pokea na mchane. atazoea jibu na ata move on.
  9. Mhandisi Mzalendo

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Kwanza nimpongeze mama kwa kuona uzi huu. Hivi una block namba mpya zote kisa mapenzi. Huna dharura yoyote au ishu nyingine zitazokuja kwa namba mpya? Kijana acha kuendeshwa na mapenzi. Toa block msikilize toa msimamo wako. Kama unampenda chakata mbususu hiyo
  10. Mhandisi Mzalendo

    Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Tanzania na DRC Kupitia Ziwa Tanganyika (Karema-Moba Au Lagosa-Kalemie)

    Ziwa tanganyika lina kina kirefu sana. Labda ufanyike utafiti sehemu yenye kina kifupi si zaidi ya mita 100.
  11. Mhandisi Mzalendo

    Bilioni 19.7 kukarabati uwanja wa Uhuru

    Sijawahi kuelewa kwa nini serikali ilijenga viwanja viwili vyenye matumizi sawa sehemu moja. Yani serikali nayo haitaki kutafuta maeneo mapya wanasema tutabanana hapa hapa
  12. Mhandisi Mzalendo

    Kwanini bia lita 5 zinanyweka ndani ya saa na sio maji?

    Sure ni 10. Bia 10 ndani ya lisaa ? Hatari hiyo haiwezekani. Wastani wa bia 1 kila dakika 6.... Bila kupumzika.
  13. Mhandisi Mzalendo

    Picha: Geti lililojengwa na TANAPA kuingia hifadhi ya Nyerere kwa Tsh. Bilioni 2

    MBona sijaelewa. Hiyo bilioni 2 ni hizo nyumba kwenye geti tu au pamoja na hizo barabara na kiwanja cha ndege kidogo? Maandishi na maneno aliyoongea ni tofauti au hajui kujieleza?
  14. Mhandisi Mzalendo

    Kwanini bia lita 5 zinanyweka ndani ya saa na sio maji?

    Trip za chooni zinakua ngapi? Pia lita tano ni chupa 20 zile kubwa. Yani kreti moja. Je unaweza gida kwa kasi hiyo?
  15. Mhandisi Mzalendo

    Punguza unywaji wa pombe, ukiweza acha kabisa

    Wengine wana matatzo yao pia na aina ya pombe. Halafu kunywa kiasi na kunywa kistaarabu ninmambo mawili twafauti. Inawezekana alikua akinywa anakunywa nyingi mno lakini bado anakua mstaarabu ila kazidisha kiasi. All in all sisi tunaokunywa tunatambua pombe ina madhara na kama hunywi usijaribu...
  16. Mhandisi Mzalendo

    Umeshawahi kukutana na mtu ameuchapa usingizi kwenye daladala?

    kuishi mjini ni kazi kama kazi nyingine. Watu wanachoka sana kutokana na vurumai. Wengi hulala kwenye daladala.
Back
Top Bottom