Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu shule nzuri za private kwenye combination ya HGE. Mdogo wangu kachaguliwa government lakini nataka aende private high school.
Wakuu naomba msaada wenu. Mdogo wangu kachaguliwa kwenda Form V (HGE) huko Galanos high school, Tanga.
Kuna yeyote anayejua kama shule hii ina mazingira mazuri ya kusoma hiyo combination ya HGE? Namaanisha kama kuna walimu wazuri na mazingira mengine ya kielimu yanayoweza kumfanya mwanafunzi...
Huo ndiyo ukweli. Huyo mbunge Deo Filikunjombe ni msanii tu. Hapa Dar watu wengi wanamfahamu na kwa kuthibitisha hilo kumbukeni FILIKUNJOMBE ni mmoja wa wabunge wa CCM ambaye ALIUNGA MKONO tamko la nyongeza ya posho kutoka sh. 70,000 kuwa sh. 200,000 kwa kikao. Huyo anafahamika hapa mjini LABDA...
CHADEMA iliingia mkataba na Dr Slaa kuwa endapo hatachaguliwa kuwa raisi ataendelea kulipwa benefits zake zote za ubunge. Kwa hiyo hatakuwa na njaa. Kkama ni michango ipeleke kwenye chama pia usisahau kuwa ruzuku ya CHADEMA sasa haitakuwa tens of millions per month but hundreds of millions per...
Brother, let NEC finish their show. Nafikiri CHADEMA inaangaliwa mchezo huo wa kuigiza halafu mwishoni watajibu.
Usije shangaa watakapotangaza kuwa mwaka huu hakukuwa na uchaguzi!!!!!!!
INABIDI KUONA KAMA KURA ZINAZOTAJWA na NEC zinaoana na zile ambazo CHADEMA imepewa na mawakala wake huko kwenye majimbo. I can bet my last dollar - that CHADEMA is working on tallying those numbers and will release a statement.
WRONG BROTHER!! what about the 18 CUF seats in Zanzibar and already TLP and NCCR-MAGEUZI each has one seat? It's coming to 40 and we count on some more!!!!!
Mind you, if the 5 MPs from CHADEMA caused that much HAVOC in the parliament, what about 50 more? SASA BUNGE LITANYOKA!!!!
Mimi naliona suala hili kwa namna tofauti kidogo. Nafikiri kuna haja ya sisi wana-CHADEMA na wanaharakati wa mabadiliko kwa ujumla tuweke mikakati ili katika uchaguzi ujao tujitolee hata ikibidi tuchukue likizo ya mwezi huo wa uchaguzi na kwenda kufanya kampeni katika maeneo ambayo wananchi...
I couldn't agree with you more. We need to count the votes from all polling stations throughout the country to see whether they tally with what NEC is announcing. If they do not tally, we should demand an explanation from them and denounce the election as RIGGED.
Mungu ameanza kusikia kilio cha watanzania na atatuepusha na utawala huu dhalimu!!!!! This is criminal offence and this dude should be prosecuted in a court of law!!!
Mind you their PRESIDENT said just before the election that there was no possibility to rig votes!!! WHAT ARE WE SEEING NOW? LET...
Brother, hatuna maana kuchochea fujo!! Ambacho tunaweza kufanya ni kuhakiki hizo kura kuona kama zina-tally na zile ambazo mawakala wa CHADEMA wanazo na kama kuna tofauti basi kuna kila sababu ya kuyakataa matokeo hayo ya NEC na kuchukua hatua zinazofaa.
TUSIWE WAOGA NDUGU ZANGU, LIBERATION HAS...
Brother, I think the best thing to do is to convince progressive Nyamwezis, i.e. those who sympathize with CHADEMA or other opposition parties, within the country to go and vie for political posts in the region. There are a lot of them and I am sure IT CAN BE DONE!!!!!!
GO SLAA GO!!!!
I just hear from ITV that Arusha Mjini the constituency most likely will go to Godbless Lema as he is leading the Lady Minister (Dr Batilda Buriani) by far!!!!!
GOD BLESS TANZANIA GOD BLESS CHADEMA!!!!!
The biggest fear CCM had was the turn out of the youth. The YOUTH ARE CHADEMAs ASSETS and our campaign manager Prof Baregu cautioned CCM that if all registered youth go to the polling station on the election dad (D-Day), then CCM will be VOTED OUT!! It is turning out to be exactly that...
Man, liberation struggle has its own price. Do not fear anybody fear only God the Almighty. Go and vote for CHANGE even if they know you what are they gonna do?
!!!!! GO DR SLAA GO!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.