Search results

  1. mwilongo Aron

    Kuonekaana kwa kimbali baada ya kutoka.

    Wadau Habari za leo? Mke wangu alishika ujauzito baada ya siku kama 15 hivi akapata maumivu makali sana ya tumbo chini ni ya kitovu akatokwa na damu kidogo sana. Ikabidi nimpeleke hospitali akachunguzwe lakini Dr akasema mimba imetoka. Lakini baada ya kupewa matibabu amerejea nyumbani ni...
  2. mwilongo Aron

    Kukatwa limekuwa neno maarufu.

    Tangu uchaguzi wa ccm katika kumpata mgombea wa urais umalizike neno kukatwa limeanza kupungua kasi , hata wale waliotarajiwa kushinda na maelfu ya watu hawakufanikiwa kupenya katika wavu wa uliokuwa ukitumika kuwachuja wazito hao(ikidaiwa katika mitandao ya kijamii WAMEKATWA). Ikiwa ni siku...
  3. mwilongo Aron

    Ukisoma stashada(diploma)ya ujuzi mwingine unaweza kusoma shahada ya education?

    Habari wakuu, Mfano aliyesomea stashahada ya uhasibu, uchumi au sheria, anaweza kuja kusoma ualimu ngazi ya shahada?
Back
Top Bottom