Search results

  1. Attinda78

    Wabunge na Elimu ya shahada (Degree)

    Kweli kabisa
  2. Attinda78

    ushauri tafadhali

    Awaache wote na aachane na uchumba
  3. Attinda78

    Natafuta mchumba binti

    Nina miaka 33, elimu yangu ni chuo, mkristo na nimeajiriwa. Natafuta binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 31, awe mkristo mwenye elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea, awe ameajiriwa au kujiajiri. Ikiwa wewe unajijua ni potential woman to be a wifey tafadhali ni PM
  4. Attinda78

    Unaitaji mke sahihi /mume sahihi kutoka kwa mungu karibu mlima wa moto ijumaa

    Ushuhuda utatoa hiyo kesho au umeishia hapo. Mi napenda mastori ya ukweli ntakuja
  5. Attinda78

    Namtafutia mchumba mdogo wangu wa miaka 22

    Mimi natafuta mchumba lakini awe muislamu mwenye itikadi kali kama mimi, ila naona 22 ni mdogo, lakini inategemea how mature someone is kiakili so lets communicate. :eek:, ila mahari bana isiwe kuuuubwa,:bump: na harusi ya kiislamu hakuna mdundiko wala muziki.
  6. Attinda78

    Elections 2010 Ninaomba kura zenu ili niwe Rais wenu

    Naambiwa safari hii tulioko nje hatupigi kura:doh:,
  7. Attinda78

    Employment opportunity

    Usikate tamaa, ila sidhani kama kutafuta kazi online au magazetini inatosha. Weka appointment Kutana na Ma HR, drops CV fanya msako wa nguvu, ikiwezekana......HONGA...lol
  8. Attinda78

    Nauza gari ndugu zangu

    Mama Beto, piga picha Engine na ndani pia
Back
Top Bottom