Nimemuuliza Mama mmoja mjamzito kwanini pregnant women wanapenda sana kuzurula/kutembea akasema mtu hawezi kukaa sehemu mmoja tu.Kuzunguka inaondoa msongo wa mawazo,pressure na vilevile kumfanya mjamzito ajione yuko sawa na watu wengine.
"wanaopokelewa kishujaa" huwa wametuma fedha kununua watu na kugharimia ulaji huo wa muda mfupi ili kujipa moyo kwamba bado wana social constituency base. Otherwise Wasukuma ni watu walioamuka na sasa hivi hawataki Magamba kabisa.
JK asihangaike kutafuta maelezo magumu juu ya matatizo yanayolikabili taifa sasa hivi. ataumiza kichwa bure. Yeye aseme tu kwamba matatizo yote yanayolikabili taifa hivi sasa yanasababishwa na vyama vya Upinzani. Mgawo wa umeme, rushwa bungeni, kupanda bei ya mafuta, ufisadi n.k vyote...
Ilikuwa kupanda bei ya mafuta na gharama za maisha, baadaye ukaja mgawo wa umeme, juzi tu matumizi ya rushwa kupitisha bajeti bungeni. Leo kuingizwa samaki wa sumu nchini! Jamani Tanzania inaelekea wapi? nchi ina viongozi kweli?
Naunga mkono umma wa Watanzania (ukiacha wachache wanaofaidika na mfumo uliopo) waje juu na wapinge kwa namna zozote zile yakiwemo maandamano kuwepo kwa Spika kama Makinda ambaye hafai kutupleleka karne ya 211
Pamoja na kukwepa kutatua matatatizo ya ndani ya nchi na ugumu wa kuongoza nchi miaka minne iliyobaki, msisahau suala la posho za safari jamani. Siyo kila kiongozi anapenda posho zimpite
Hayo mapigano ni sehemu ya mkakati wa kujivua magamba au? na kama wangepigana wajumbe wa chama kingine, mfano cha Upinzani, ungekuta tayari wachakachuaji wa taarifa za kiintelijensia wanakamata watu na kuwasweka ndani na kuwafungulia kesi zisizo na tija. Mna bahati wenzetu kwa vile Polisi...
Well said Mzee Mkapa. Sasa hivi uko kwenye nafasi ya kujua ukweli ni upi na usanii ni upi. Zaidi you have a legacy of positive achievements Watanzania wanaona na wanakumbuka
JK ana mkakati wa makusudi wa kusafiri nje kila mara ili kukwepa kuulizwa au kushughulikia masuala ya ndani mfano: tatizo sugu la mgawo wa umeme, hali duni ya maisha ya watu (isipokuwa rafiki zake), migogoro maeneo ya machimbo, mauaji ya raia yanayofanywa na polisi, kuongezeka kwa ushawishi na...
Hata madikteta huwa na nishani nyingi nyingi tu.Kinachofanyika siyo kitu kipya ila kipya kitatokea siku za mbele Watanzania watakapopata uongozi tofauti unaojali maslahi ya taifa na si ya vikundi maslahi, tuzo hizi zitageuka kuwa vyeti vya aibu na laana
Hii ni uthibitisho mwingine kuwa viongozi wetu wengi hawana uzalendo na nchi yetu au pengine hatuna viongozi kabisa. wako kama mamluki (mercenaries) vile, wanajijali wao tu na si wananchi wenzao au majirani na cha ajabu these are frequent church or mosque goers!. in the words of Achebe majority...
Serikali yetu ni ya ajabu sana. Sasa hivi inadai ipewe chenji ya ununuzi wa rada wakati imeshindwa kuwashtaki vigogo walioingiza nchi yetu katika kashfa hiyo ya rushwa!
Mukama anapokosoa mabadiriko yanayotokea Misri anakuwa amesahau kuwa hadi sasa Waziri wa zamani wa mambo ya ndani Misri keshafungwa miaka kumi na zaidi jela pamoja na kuamuriwa kurudisha fedha za umma alizofisadi?
Mukama atueleze kama serikali ya genge lake la chama cha magamba wanaweza...
Huyu anatumia elimu yake aliysoma kuwainua wananchi wake. Angalia logic anazotumia kujenga hoja. Hivi inakuwaje viongozi wetu na u "dokta" wao hawaonyeshi uchungu wao juu ya maslahi ya wananchi? Au wao walisoma shule tofauti na alizosoma Mugable?
Mwanzoni mwa Anguko la Uchumi Duniani (Economic Crunch):
Rais: Matatizo yanayosababishwa na anguko la uchumi hayatatuhusu wala kutugusa. Uchumi wetu hauko linked na uchumi wa nchi za magharibi
Baadaye:
Rais: Tunakabiriwa na hali ngumu ya kimaisha kutokana na kuporomoka kwa uchumi wa dunia!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.