Umaskini unaletwa na kutaka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Chagua kimoja unachokiweza na kukipenda kifanye kwa juhudi na ubunifu.....Hivyo hivyo katika taaluma huwezi kuwa eng. Dkt. Mtaalam wa kilimo n.k. . Chagua kimoja na kifanye na mwache Mwenye taaluma husika afanye kazi yake pale...
Ongezeko kubwa la mahitaji ya matunda na mboga limefanya kilimo cha horticulture kukua kwa kwasi na kuwanufaisha wakulima wengi....
Watalam Wa Kilimo hicho wanawaletea Huduma maalum ya kitaalam ili kuwezesha Mkulima kunufaika kwa gharama ndogo na kukufikia popote ulipo ..Tembelea blog yetu...
Wadau mambo vipi? Kwa wale wenyeuzoefu na taalumu katika swala la makampuni ninaomba nijuzwe ni jinsi gani ninaweza fungua kampuni na taratibu zote zinazotakiwa pamoja na mambo ya share holders..
Hivi ni kwel kilimo cha bustani kinaweza kumtoa Mtanzania katika umaskini?? Ni juhud gani zinafanywa na serikali kumkomboa mtanzania anaejishughulisha na kilimo biashara????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.