Search results

  1. mamii90

    Bidhaa ziingiazo nchini bila kodi

    Ndugu zangu naomba kujua ni bidhaa zipi zitokazo nje ya nchi bila kodi. Kwa mfano mimi nafahamu sanitary pads japo sijajua kama bado hazina kodi
  2. mamii90

    Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

    Habari, Hili jambo limenitesa miaka nenda miaka rudi, natamani lifike mwisho. Wakati naingia kwenye mahusiano na huyu ambae ni mume wangu sasa, alikuja binti mmoja ambaye alikuwa ndo kamaliza form 4 (mdogo wake) akaanza kusoma cozi kwenye chuo flani. Nikapata ujauzito so ikabidi nilete binti...
  3. mamii90

    Nifanye biashara gani naomba ushauri katika haya mazingira

    wakuu Nimepata frem kwenye eneo la shule mwanzoni wakati naitafuta nilikua nataka kuweka saluni ya kunyoa ila wameniambia saluni hapana maana lile eneo vyakula vinapikwa sana kwa hiyo itakua haiendani na hiyo biashara. kwa hiyo wameniambia niangalie ingine.kwa pale ki ukweli wanafunzi ni wengi...
  4. mamii90

    Nimemeza dawa ya malaria juzi bia leo vip?

    Nilimeza metakelfn juzi kushnda jana Vyombo leo vipi?
  5. mamii90

    Jina la duka la nguo za kike Kinondoni

    Wanalouza nguo classic za kike Very agent please
  6. mamii90

    Rafiki yangu kaniambia kirahisi rahisi yeye ni freemanson

    Katika pita pita zangu nilikutana na jamaa mmoja mtu mzima kidogo ashawahi kuwa flani katika serikali miaka ya nyuma tukawa marafiki. Leo tukaenda lunch akanipeleka kwenye hotel flani very private ambayo yeye ni member Aise mazingira yalikuwa yanatisha kwani kuna ukimya sana lazima uwe na...
  7. mamii90

    Jestina George wa Zurii nae tunduni, halipi kodi duka lake liko kizuizini

    wewe dada vitu vyako unauza ghali kuliko kawaida kwa kigezo unalipa kodi? kodi ipi lakini pia juzi ulipost kwamba watu wajiandae kwa upotevu wa makontena kama walipitisha bila kulipia kumbe na wewe ni mmoja wa mapapa naam ni mmoja maana ushampost sana "yule jamaa anaesafirisha bidhaa...
  8. mamii90

    na nyie poteeni

    maana naona mnapenda ligi
  9. mamii90

    Mpira wa kikapu kwa wanawake

    nataka nijiunge na timu ya kikapu maeneo ya hapa napoishi nimeshawishiwa na kocha wa timu,kimo na mwili kasema ndo unaoitajika swali sasa ni je huu mchezonuna future nzuri kwa mwanamke???
  10. mamii90

    Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

    Mwenye sifa zifuatazo; . Awe na umri kuanzia miaka 30 . Mcheshi . Elimu haijalishi awe na kazi . Kuwa na mtoto haijalishi - Uje PM.. Wasifu wangu: Nina 25 Nina shahada ya kwanza Nina kazi Naishi mwenyewe Nitakupa maelezo yote PM..
Back
Top Bottom