Search results

  1. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Acha watu wapate madini mkuu
  2. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Watumiaji halisi wa bandari wanaelewa hatua mbalimbali zinazochukuliwa na bandari ili kuleta ufanisi katika bandari yao. 👇👇👇👇👇👇 THE CITIZEN Dar es Salaam Port welcomes new shipping line, boosting trade efficiency Saturday, January 27, 2024 By Rosemary Mirondo Business Reporter Mwananchi...
  3. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    How Dar port plans to surpass this year's target Monday, January 15,2024 By Louis Kolumbia THE CITIZEN Dar es salaam. The Dar es salaam port director Mrisho Mrisho yesterday unveiled an internal target of handling 24 million tonnes of cargo in the 2023/2024 fiscal year, thanks to the execution...
  4. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Nairobi News!!! kwelii???? Verification??? Achana na viblog. Alafu ya siku nyingi sana. Weka articles zenye authenticity. Cheki hapo chini 👇 How Dar port plans to surpass this year’s target What you need to know: The Dar es Salaam port has already handled 12 million tonnes of cargo in the...
  5. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Mzito sana kuelewa, nimekwambia kutokana na article yako siyo bandari ya Dar peke yake iliyopata congestion. Bandari za South Afrika, Djibouti n.k zimepata congestion na siyo dhambi, ni booming ya biashara kutokana mwisho wa mwaka kama ilivyo kwenye utalii kuna high season na low season...
  6. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    👉 Mwandishi anawaquote bandari ya Dar akiwaeleza wateja wake kuwa amezuia kufanya bagging kama measure ya kupunguza msongamano. "Tanzania Ports Authority (TPA) has suspended the bagging of loose cargo inside Dar es Salaam Port to reduce the number of waiting ships and causing congestion in...
  7. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Number zinakukataa (Zinakusuta) 👇 👇 ""cargo volume at Dar es Salaam Port has been increasing by an average of 7.6 per cent annually for the past three years. In the 2020/21 financial year, the cargo volume was 16,190,906 tonnes, while in 2021/22, it was 18,410,953 tonnes, and in 2022/2023, it...
  8. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    DP World itatuongezea ufanisi, hivyo makusanyo ya TRA yataongezeka nchi itafaidika.
  9. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    DP world wamepangishwa gati Na. 04 mpaka 07 kati ya magati 12 ya bandari ya Dar es salaam. Kwahiyo na 40% ya makusanyo ya TRA kutokana na ushuru bandari ya Dar es salaam unawafaidisha DP World??? Akili yako itakuwa imebakwa. DP World itatuongezea ufanisi, hivyo makusanyo ya TRA yataongezeka nchi...
  10. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    Kupitia single Window, ambapo taasisi zote bandarini zitafanya kazi kupitia mfumo mmoja utendaji wa bandari utaimalika zaidi.
  11. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    DP world wamepangishwa gati Na. 04 mpaka 07 kati ya magati 12 ya bandari ya Dar es salaam. Kwahiyo na 40% ya makusanyo ya TRA kutokana na ushuru bandari ya Dar es salaam unawafaidisha DP World??? Akili yako itakuwa imebakwa. DP World itatuongezea ufanisi, hivyo makusanyo ya TRA yataongezeka...
  12. jfour

    Meli 13 zinahudumiwa muda huu bandari ya DSM Januari 28/2024

    SIMPLE FACTS :- (1) Kama nakwenda Tanga kutokea Dar siwezi kukubali nizunguke mpaka Morogoro au Dodoma au Singida huko kutakuwa kupoteza muda na kwenye biashara muda ni Fedha. LOBITO CORRIDOR ANSWER (2) Kama nina Bus langu route ya Dar <-> Tanga siwezi kulipitisha Charinze wakati route yenye...
  13. jfour

    Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    Huwezi kupata faida mzigo unaokwenda Asia kutoka Zambia/DRC ukaupitishia Angola. Utendaji wa bandari umeboreka sana, ufanisi ni mkubwa, kazi zinafanywa masaa 24 kwa siku saba za wiki na Mama Samia anaongeza Magati.
  14. jfour

    Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    Dhahabu???? Mzigo wa soko la west hakuna namna lazima upite hiyo njia huwezi kukwepa huo ukweli. Huwezi pitisha mzigo wa zambia kwenda marekani/ulaya bahari ya hindi yaani uongeze urefu wa safari maana yake uongeze gharama si kweli. Bandari yetu inafanya vizuri, kazi zinafanywa masaa 24 katika...
  15. jfour

    Bandari ya Dar es Salaam sasa inafanya kazi 24/7

    Kazi nzuri bandari yetu, tuchape kazi usiku na mchana tuzidishe ufanisi.
  16. jfour

    Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    Tishio lipi? Kwani bandari ipo moja tu kusini mwa Afrika? Huna facts unalalama tu, Lobito corridor ni mradi wa wamarekani wakati 80% ya copper mines ya DRC ni ya Wachina (ASIA), shortest root ya Asia ni bahari ya Indi. Kwahiyo Mchina azunguke atlantiki, aje bahari ya Indi aende Uchina siatakuwa...
  17. jfour

    Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    VIzuri kumbe umenielewa kuhusiana na Lobito Corridor. Mifumo siyo ishu. Tatizo ni uzezeta kwamba mkipita kwenye daladala pale salenda bridge mkiona meli baharini msema kuna shida bandarini bila data, bila taarifa, mnapiga ramli tu. Tuache ujuaji kwa tusilolijua. Tufurahie urithiwetu, mali yetu...
  18. jfour

    Bandari ya Dar es Salaam ina changamoto za Mafanikio

    Wewe ndio hujaelewa swala la Lobito na improvement ya bandari yetu ni vitu viwili tofuti. Bandari wanafanya improvement kila siku na hawawezi kuacha kufanya improvement kama taasisi. Mfano kuna improvement kwenye security n.k.. we unataka improvement kwenye lipi kwa mfano. 👇👇👇👇 ZAmbia, DRC na...
Back
Top Bottom