Waache longo longo, waweke bidhaa zao ndani, zinazo zidi waweke kwa stoo or waongeze fremu. Mbona Mini na Supermarkets wanauza bila ya kuweka sample nje..?? Analetaje bidhaa nyingi kuzidi space aliyonayo ya kuuzia..? Washikishwe adabu hao, wasiturudishe nyuma tena.
MW358, huu ni umeme ni mwingi sana. So far kwa vyanzo vyote hivi tena vya umeme wa maji, tuwe na imani tutapata umeme wa uhakika na gharama za uzalishaji zitashuka. Hivyo, tuamini pia na bei za bidhaa zitashuka kwa kiwango fulani. Hongera sana kwa Govt na wa-TZ wote..!!
Ni kweli Mkuu kuwa gari ni gari tu lakini kuna gari zinahitaji kuendana na status ama heshima ya mtu ktk jamii.
Ni kama vile kusema mavazi ni mavazi tuu, kisha mtu mzima mwenye staha ukavaa tight jeans zile za kuchanwa chanwa, micheni mikubwa mikubwa na mapete vidole vyote kumi..
Hii lazima...
Hahahaaa wewe Mkuu nimekukubali sana. Yaani hawa padogo wakisoma comments kama hizi ndipo watajitambua kumbe wao si lolote wala si chochote kwenye game ya kumiliki ma Private Transport..
Duuhhhh aiseeehhh hii inaitwa kushikisha adabu. Asante sana kwa kumuadabisha huyu na hatimaye mkafanikisha kumbadili tabia ya kiburi.
Well done Mkuu..!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.