Search results

  1. N

    Msaada: Kwa wanaosoma HRM mwaka wa kwanza Open Univesity

    Lejea na ombi hapo juu..mim ni kijana niliepata bahati ya kuchaguliwa pale out ..shider niliokumbana nayo ni kwamba sina na sijui nitapata wpi matereal.kwa yeyote alie na uelewa naomba anisaidie hata kwa pesa ..njoo tutengeneze group..nibip kwa namba 0714098138
  2. N

    Hakijaeleweka Open University

    Friends naomba msaada . Nimechaguliwa pale OUT university. Lakin mpka sasa wanaleta chenga nying kufanya usajili mara. njoo kesho mara majina yamepelekwa NACTE. Kwa yeyote mwenye taarifa za kuanza usajili anijuze tafadhali
  3. N

    Bagamoyo ni shiiiider..fuull live fiesta..

    Njooo live ushuhudie wasanii wakali toka studio kali..wakifanya yao
  4. N

    Msaaada: Procedure za kubadili chuo kupitia NACTE

    Habari, Waungwana nilimepata college kwa kupitia NACTE Je! nikitaka badil collge nitumie procedure za tcu ama zipo pia za nacte, Plz nisaidien kabla muda haujakwisha
  5. N

    NACTE Selected but not confined imeniponza

    Nyie nakte mmenipa aibu ya mwaka...mtaa mzma wanajua nasepa collg pale mzumbe but not selected. .kwa majina yao...ushauri tafadhali ninaweza omba open kwa mda huu na nikapata
  6. N

    Msaada..KUJIUNGA NA UNIVERSITY BILA KUPITIA TCU/NACTE

    Nahis sitapata..huko kwenye central admtion..je kwa mda huu uliobaki naweza omba chuo gani kupitia direct chuoni.?
  7. N

    Baada ya kufanya naye mapenzi siku moja tuu nikaombwa ninunue simu ya kugusa

    Je hapa nitapona kwer..kwa dalil hiz..kuna haja ya kuendeleza mapenZ
Back
Top Bottom