Search results

  1. SHADOWANGEL

    NAITAJI KUJUA MASOKO YA KUKU WA KIZUNGU

    Nataka kuingia Katika biashara ya kuku WA kizungu naitaji kupata assurance ya masoko Kwa walio dar naitaji kujua masoko ya kuku wa kizungu. Naitaji kuanza na kuku 500. Nitafurai nikipata mawasiliano ya wanunuaji kuku
  2. SHADOWANGEL

    Wapi nitapata (coconut shell) vifuu vya nazi kwa wingi kuanzia tani 1 na kuendelea

    Mwenye kujua wapi nitapata vifuu vya nazi kwa wingi au supply wa vifuu vya nazi tuwasiliane. kama wewe una supply nje ya nchi pia tuwasiliane
  3. SHADOWANGEL

    Je, maandamano yatatatua matatizo?

    Biblia Katika Mhubiri Inaandika "Hayo yote nimeyaona, nami nimetafakari moyoni mwangu kila kazi ambayo imefanywa chini ya jua, wakati ambapo mwanadamu amemtawala mwanadamu mwenzake kwa kumuumiza." Bila shaka si kila mara waandamanaji hupata wanachotaka. Kwa mfano, huenda viongozi wakawaadhibu...
  4. SHADOWANGEL

    Cha kujifunza kuwa damu ni mbegu na tutafakari the ending point ya uvumilivu kwa watanzania

    Vitabu vya dini vinasema kuwa mwenye masikio na hasikie na mwenye macho haone. Ukiingalia historia ya wana wa israel VITA aikuwa walipokuwa wanaenda nchi ya ahadi ila vita ilitokea baada ya kuipata nchi ya ahadi. kwa sasa watu wanaoma uku kwenda uku ni jambo la kawaida ila watu awa uanza kuwaza...
  5. SHADOWANGEL

    Naitaji compressor

    Free Airflow about: 4m³/min (cubic Meter per minute) or 140 cfm (cubic feet per minute) A little bit less is also ok, more is also good Screw air unit 3-4 piston engine Mwenye nayo tuwasiliane...Unipe na bei
  6. SHADOWANGEL

    SIZONJE Ahadi si neno, Tunangoja hatima

    Sizonje kiukweli watu wanalia kama asemavyo mrisho mpoto kwa kubainisha kuwa watu wanalia tofauti lakini msiba ni mmoja. Lakini ningependa kukuambia Mpoto Asiyekujua hakuthamini kwa kuwa Cha kichwa kitamu, na cha mkia kitamu kwani waswaili wanasema "Chetu si changu, usitumaini cha mwenzako"...
  7. SHADOWANGEL

    Je, kuzuia ACACIA kufanya kazi ndio suluhisho katika jambo hili?

    Katika mambo ya haraka haraka ambayo niliwaza no Serikali kutokwamisha shughuri zote za kazi katika sekta ya Madini kwa kuteua watumishi Wa Tra kukusanya kodi kwa sasa baada ya TMAA kusimamishwa na wala sio kusimamisha shughuri ambazo wanaunufaika ni watanzania pia katika maisha ya kila Siku...
  8. SHADOWANGEL

    Understand Gold Exploration and Mining Business

    8 Reasons To Own Gold A history of holding its value Weakness of the U.S. Dollar Inflation Deflation Geopolitical Uncertainty Supply Constraints Increase Demand Portfolio Diversification Tukaribie kuelewa rasimali zetu na namna ya kuwekeza.. Bonyeza apo chini kusoma zaidi Understand Gold...
  9. SHADOWANGEL

    Watu wako walilie msaada mpaka wakati gani?

    Biblia inaonyesha Tangazo ambalo Habakuki nabii aliona katika maono: kwa kusema Ee Yehova, nililie msaada mpaka wakati gani, nawe usisikie? Nitakuomba msaada kutokana na jeuri mpaka wakati gani, nawe usiokoe? Kwa nini unanionyesha jambo lenye kudhuru, nawe unaendelea kutazama taabu tupu? Na kwa...
  10. SHADOWANGEL

    Germany investors conference in mining sector

    Opportunity for all people who are in mining sector, Click the link below to download and fill registration form Conference: Business Trip of German Mining Industry to Tanzania
  11. SHADOWANGEL

    CHA KUJIFUNZA KUHUSU UONGOZI KUPITIA IMANI

    Ikumbukwe kuwa kila mwanadamu ana kile ambacho anakiamini na anaweza kuelezea jambo kwa kile ambacho anakiamini. Katika kuelezea vile ambavyo naamini jinsi navyoelewa kuhusu uongozi kwa dini nayoamini ningependa kuanza kwa kunukuu matendo ya mitume 27:10 “Waheshimiwa, nahisi kwamba safari hii...
  12. SHADOWANGEL

    Compressor inahitajika

    Free air flow: 4.5m3/min, Operational pressure: 7 bar Also I need to know how many working hours it has and age and if it is a piston or srew compressor Mobile: Sita, 73- Hamsini 3612
  13. SHADOWANGEL

    Tutegemee siasa au maendeleo?

    Waswaili wanasema asiyeona nafsi yake Haoni akionyeshwa... Kila anayezungumza anazungumza raisi vile Raisi ivi...Flani kafanya vile kafanya vile inakuwa ngumu kujua awa watu wanamaanisha nini au ndo tushike yale maneno ya mwalimu kuwa liishalo ni Dogo kuliko linalokuja....Akuna jinsi maisha...
  14. SHADOWANGEL

    Stealing Africa - Why Poverty?

    Industrialization....
  15. SHADOWANGEL

    Neo-Aristocracy? Devil's advocate position

    This is a devil's advocate position I'm taking, despite my phrasing things as though I'm certain. It's easier to work this way, as opposed to saying each time all my uncertainties. I'm questioning that a government actually should be hands off when it comes to the law. In other words, I'll...
  16. SHADOWANGEL

    How can we achieve happiness when work requires pain?

    I've been having a few disturbing thoughts. I need someone to slap me down and explain why I'm wrong. Every value that we hold dear requires effort to gain and keep. We must fight entropy. We must fight comfort. We might struggle through the pain to get it. How can we live this way and still be...
  17. SHADOWANGEL

    Human nature is selfish

    Is there such as thing as "human nature," and if so, is it accurate to state that it is selfish? Human nature" is an ill-defined concept. By my best understanding, it can be thought of as a collection of psychological and physiological attributes of human beings which exist prior to any sort of...
  18. SHADOWANGEL

    Can natural capital drive progress in Tanzania

    Over the past several years, efforts have been made to persuade both national and international corporations to locate their businesses Tanzania. However, one of the challenges that Tanzania faces are how can Tanzania movement, especially with East Africa’s emerging markets, not become an...
  19. SHADOWANGEL

    The promising future of East Africa in Oil and Gas

    Some of the most promising prospects in all of Africa today are no doubt to be found on the East African oil frontier. Up to the very recent past, oil and gas in East Africa has mostly been unknown in the oil and gas industry. It is only in recent years that almost all countries in East Africa...
  20. SHADOWANGEL

    Small scale mining in Tanzania is the future of our economy

    Compared with Tanzania’s large-scale mining, the country’s artisanal mining sector is smaller in terms of the value of its output but far larger in labour absorption. According to the World Bank 2011 sponsored census estimated that there was 680,000 artisanal miners in Tanzania . Definitions...
Back
Top Bottom