Naomba kusaidiwa hili swali la kiswahili kwa anayejua.
SWALI......Athari hasi na chanya za fasihi simulizi katika kufaraguza fasihi andishi ya kiswahili ya hivi leo
Naombeni msaada nimefanya transfer lakini leo nimeangalia kwenye account yangu ya loan nimepata mkopo,je nitaupata mkopo wangu katika Chuo nilicho hamia?
Hivi kama mtu amepangiwa chuo lakini kutokana na hali ya maisha akakosa hela ya kuanzia na akaamua kuahirisha mwaka hadi mwakani atakuja kuapply tena vyuo hiyo mwakani au inakuaje?
Samahani wanajukwaa naomba kuuliza hivi eti inafaa kwenda chuoni moja kwa moja kuomba nafasi wakupangie hapo wakati umesha apply vyuo vengine unasubiri tofauti na hicho??
Naombeni mnisaidie kwa hili je account yangu ya tcu baada ya kuchagua vyuo hamna sehemu pa kucomfirm au ndio naacha vilevile naombeni msaada mimi bado mgeni kwa haya mambo.
Hivi kuna faida gani na hasara gani za kufanya mtihani kama private candidate(pc)kwa huu mfumo wa division kwa upande wa kidato cha sita naomba ufafanuzi jamani kwa mliofanyaga mtihani wa kidato cha sita kama pc kwa mfumo wa division kwa kipindi hicho.
Nimesikia eti wale wenye division four ya 32 mwaka 2013 yenye credit tatu walioko form six wanasajiliwa kama private candidate mweye ukweli was hili naomba anifahamishe
Kuna mdogo wangu nimempeleka shule ya private, form five kwa iyo dision four je kuna tatzo ingawa ana credit tatu.
MSAADA TAFADHALI YANI NIKO NJIA PANDA JAPOKUWA DOGO ANAENDELEA KUSOMA.
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.