Search results

  1. P

    Unakumbuka hiki kikosi

    1.mohamed mwameja 2.deo mkuki 3.alphonce modest 4.mustapha hoza 5.george masatu 6.hussein marsha 7.athumani china 8.juma amir maftah 9.madaraka suleiman 10.nteze john lungu 11.thomas kipese na hiki kilimtoa zamalek kwao 1.juma kaseja 2.said sued...
  2. P

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Nadhani wamesahau simba ndo baba wa mpira wa kimataifa kwa bongo.Ndo timu ya kwanza A.mashariki kumtoa zamalek akiwa nyumbani,timu ya kwanza kucheza fainali ya kombe la caf.Hivi mnakumbuka mlivyopigewa sita ally mayai akidaka mpira kama kipa baada ya mpira kumshinda joseph katuba
  3. P

    Kuileta Madrid Bongo ni kituko

    Hatimaye club ya real madrid imefanikwa kunasa saini ya beki wa chelsea ricardo carvalho kwa paundi milioni 6.6
  4. P

    Taifa vs harambee stars

    Mechi inachezwa uwanja wa uhuru(shamba la bibi) saa kumi
  5. P

    Nani zaidi kati ya ngasa na lunyamila

    Kuna siku kwenye pitaipita zangu nilikutana na huu ubishi,watu walikuwa wakibishana nani mkali kati ya mrisho ngasa na edibily lunyamila basi nami nikaona nilete hii hoja kwa wana JF.Kwa upande wangu me nadhani lunyamila alikuwa juu zaidi ya ngasa wa sasa.:lying:
  6. P

    Mziray AMEJISHUSHIA heshima yake

    Me sijamwona mwenye afadhali kati ya hao wote wawili.kaseja hana mawazo ya kufikiria kiundani zaidi ndo maana mechi na misri akampanga ambaye hakuwahi kudaka hata mechi moja kwenye ligi(barthez).Hivi m2 aliyelelewa kwao kwa karibu miaka ishirini unaweza kumbadilisha tabia ghafla, labda hao...
  7. P

    Mziray AMEJISHUSHIA heshima yake

    Yani kama huyo mwalami katuuza mechi ya ya brazil na kwenye kombe la chalenge.mapunda alimkimbia kaseja alipoenda yanga na huyo shabani dihile bora 2 nikaye kimya.Eti kocha unampanga golikpa ambaye hakudaka hata mechi moja kwenye ligi(bartez) Hizo ni akili kweli wakati wakina shabani kado walikuwepo
  8. P

    Mziray AMEJISHUSHIA heshima yake

    Kaka haupo sahihi, kuwaeleza raia ukweli angeonekana vp hana nidhamu.Kutongaza kwake ndo kulimfanya yeye aonekane mnafki,na kuhusu hizo habari za wa2 wa karibu mbona yameshaongewa mengi coz binadamu hakosi cha kuongea.wapo wanaosema kaseja na maximo walikutana ugoni,wapo wanaosema kaseja...
  9. P

    Mziray AMEJISHUSHIA heshima yake

    Kaka me ninavyojua maximo mpaka anaondoka hakuwahi kutangaza utovu wa nidhamu alioufanya kaseja na yameshaongelewa mambo mengi kuhusu kilichomtoa kaseja stars maximo ndo mwenye ukweli moyoni mwake.Tena kwangu mimi naona maximo hakuwa sahihi ilitakiwa atangaze hadharani utovu wao wa nidhamu...
  10. P

    Sulemani Matola - Shati na tai hata mazoezini?

    Acha majungu hiyo picha imepigwa jana kwenye sherehe ya simba day.Je ulitaka avae pensi nn.mjomba sometimes nguo uvaliwa kutokana na umuhimu wa siku
  11. P

    Mziray AMEJISHUSHIA heshima yake

    Je unawakumbuka paul gazza,paul ince na boban wa crotia kwa kiwango chao kibovu cha nidhamu lkn walifanikiwa kuwika ktk timu ya taifa.pia nadhani hamna asiyemjua rooney mtoto mtukutu kama ferguson angeamua kutompanga kwa sababu ya utukutu wake leo angekuwa wapi na hakuna asiyejua mchango wa...
  12. P

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    ayaaaaaaaaaaaaaaaaa kudadadeki simba kapiga mtu nne,patrick ochan katupia mbili,kijuso moko.na shija mkina moko karibu simba day tarehe nane uwaone rashidi gumbo,amir maftah,patrick ochan na wengineo wengi.
  13. P

    Hivi,, hawa jamaa wanaelewa kweli?!

    anaweza kuelewa maelekezo anayopewa,je ana uwezo wa kutenda alichoelekezwa.mfano unaweza ukamfundisha mtoto jinsi ya kujenga ghorofa ila je ana uwezo wa kulijenga.:disapointed:
  14. P

    Hivi,, hawa jamaa wanaelewa kweli?!

    kuelewa wanelewa ila kumbuka kuelewa ni tofauti na kutenda ktk boli unaweza kuelewa unachoambiwa ukifika ground ukafanya maambo tofauti hii inatokana na akili yako imekuwa vipi kisoka
  15. P

    Hivi,, hawa jamaa wanaelewa kweli?!

    :hippie:Wanaelewa bana lugha ya mpira tofauti na ya class pia wengi wao wanatoka simba na yanga timu zinazofundishwa na makocha kigeni.
  16. P

    mwenzenu me mgeni!

    karibu mama if u gt something 2 share u wll tell us
  17. P

    hello members!

    Karibu mwanawane
  18. P

    Nini kilimsibu Haruna Moshi?

    Hatimaye mchezaji Mtanzania aliyekuwa akicheza soka la kulipwa nchini Sweden Haruna Moshi amerejea nchini na kusema hana mpango wa kurejea tena nchini sweden. Tunaomba Agent wake aongee ukweli na si kuficha. Kwani kuna wanaosema alikuwa akipokea fedha kidogo kutokana na makato makubwa ya kodi...
  19. P

    Uzee wanijia

    He kumbe
Back
Top Bottom