Search results

  1. Bally B

    Rais wetu kama umeamua kutumia Kiswahili basi tumia Kiswahili na sio Kiswanglish

    Jana nimecheka sana kingereza cha jamaa - kwanza alipoitamka ile PPPppp kwa kingereza, we want that money to use propere...awamu hii kweli ......
  2. Bally B

    Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni- Pata ufafanuzi wa kina, ushauri na tiba ya tatizo hili

    Utakuwa na Ugonjwa wa PID nenda hospital haraka sana..............................
  3. Bally B

    Balozi: Macho ya Dunia sasa ni kwa Magufuli

    Huyu hakuwa balozi bali alikuwa mwanachama wa FISIEM kutoka china, aliyekuja kufanya harakati za kukuza chama cha magamba, Mwacheni aende ila ni lazima arudi kuishi bongo maana nasikia kaishapewa eneo kwaajili ya kuja kuishi ma kufanya biashara
  4. Bally B

    Ripoti ya Mkemia Mkuu wa serikali yathibitisha Manji anatumia Dawa za Kulevya

    Baada ya kueleza hayo, Wakili wa Manji, Hudson Ndusyepo alimuuliza shahidi huyo kwa nini dawa za kulevya (Benzodiazepines) alizozitaja Mkemia Mkuu ni tofauti na zilizotajwa kwenye hati ya Mashtaka (Heroin) ambapo shahidi huyo alijibu hajui na yeye hakuandaa hati ya mashtaka. Shahidi wa pili...
  5. Bally B

    TCRA wachukulieni hatua kali hawa watu wa EATV na EA Radio ni wapuuzi sana

    Wewe ndiyo mchonganishi humalizi kusoma habari yote unaanza kukurupuka na maneno, sasa Sisi kama TCRA tutakufungia wewe.
  6. Bally B

    CHADEMA yataka Serikali iseme kama imemkamata Ben Saanane na kama haijamkamata iseme yupo wapi

    Hiyo ni kweli tena kipo jirani na nyumba za mawaziri
  7. Bally B

    Mnaongeleaje wizi wa mafuta sheli, yaani kujaza upepo?

    Wezi wakubwa ni Oil com hilo halina ubishi kuna ile shell yao ya manzese ndiyo hatari zaidi, Shell ambayo huwa najaza mafuta na roho huwa safi bila wasiwasi nawashauri nendeni shell za VICTORIA popote pale jamaa wapo vizuri sana kuanzia quantity hadi quality ya mafuta.
  8. Bally B

    TUCTA na Vyama vya Wafanyakazi, huu ndo muda wa kutetea wafanyakazi. Acheni kuwa mabubu, hali mbaya

    Huu ndiyo Muda wa kutetea FAO letu la Kujitoa, Maana wakati tunajiunga hakuna Option iliyokuwa inasema kujitoa au hadi miaka 55 ya kustaafu. hiyo hela ni muhimu sana kwa sisi wa maisha ya kuunga unga.
  9. Bally B

    Makonda: Pale ofisini kwangu nina wasaidizi 120, lakini najivunia 4 tu, wengine ni mizigo..!

    Na katika hao wanne mmoja ni kichaa kwa muujibu wa tafiti hahahahahah, sasa sijui ni yeye mwenyewe au.....
  10. Bally B

    NSSF walipana Bil. 10/- posho za safari

    Ndiyo maana hawataki kuwapa wafanyakazi mafao yao baada ya kuacha au kuachishwa kazi yamekalia kula michango yetu na kujipendekeza kwa serikali kwa kuwapa hela ya kujenga ofisi dodoma.
  11. Bally B

    Sioni ubaya kwa serikali kuelekeza baadhi ya fedha za maafa kwenye taasisi nyingine za kiserikali

    Wewe ni mmoja ya wale wanaotumia makalio kufikiri Ila nakuombea uendelee hivyo hivyo kusikia msiba kwa wenzio usiombe ukakukuta..... lisingetokea hilo tetemeko hizo hela wangepata wapi. yaani ni sawa sawa na hela ya rambi rambi uende ukaifanyie starehe halafu waombolezaji unawaacha njaa msibani.
  12. Bally B

    Ali Mufuruki amtabiria ushindi Magufuli, na kusema Lowassa atashindwa

    Huyo Mufuruki anafanya biashara ana tetea shughuli zake akidhani anayofikiri ni nakuota yatatokea tena.
  13. Bally B

    Usichague UKAWA, Usimchague Lowassa, Chagua CCM, Chagua Magufuli, Chagua Amani

    Majambazi nyie mnaonunua magari ya vita kisa uchaguzi badala ya kununua Ambulance
  14. Bally B

    Yuko wapi Kinana?

    Ameshachukua chake baada ya kuona Kina Slaa na Lipumba wamelambishwa mpunga bila kufanya kazi yoyote akaona atakufa masikini...chukua chako mapema...
  15. Bally B

    Tanganyika packers Kuzimia, Hii ni Baada Ya Tanga

    Picha tu mkuu mbona hazionekani
  16. Bally B

    Yaliyojiri Dodoma: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dr. Magufuli

    Unato----wewe kichaa kama huyu ni wakupewa Nchi
  17. Bally B

    CCM sasa basi!

    Pamojaaaaaa1111111
  18. Bally B

    Itabaki historia. Magufuli atafuna fupa la Mbalali. Aahidi ekar 1,800 kurejesha kwa wananchi

    Huo ni Uwongo saizi ameacha kushanga anaanza kutaka kupangua miradi ya Boss wake...ccm ndo walitoa hiyo ardhi halafu kwanini asiwarudishie saiz kuonesha mfano kwani hadi achaguliwe ndo afanye,Ahadi za bunuhasi
  19. Bally B

    Hawa ndio Wafadhili wakuu wa CHADEMA ambao Mbowe hataki kuwataja hadharani

    Mbona mimi pia nimechangia na nimeomba nisitajwe
  20. Bally B

    Lowassa anakera, Tambwe ni pigo kubwa kwa CCM

    Yupo sahihi kwani bado yupo CCM si kisha hama
Back
Top Bottom