Search results

  1. K

    Nyumba ya kupanga Arusha

    Hallo, nyumba ipo karibu na matofali ya kuchoma, unabranch hapo (upande wa kushoto) unafika mahali wanapouzia maji kisha unaingia kushoto utaona nyumba yenye kigae chekundu - ndio nyumba yenyewe. Ukipata shida kufika hapo mpigie jirani yangu 0717216228 atakusaidia kuiona maana kwa sasa...
  2. K

    Nahitaji Nyumba ya kupanga Arusha

    Ndugu jaribu hii: Kuna nyumba ya kupanga kwa Mworombo, Arusha (6km) kutoka City center. Ni nyumba yenye vyumba vitatu (3) Master moja+vyumba viwili vya kawaida na sebule kubwa sana. Ina jiko kubwa na uzio na usalama ni wa hali ya juu. Nyumba inapangishwa kwa Tshs 160,000/- tu kwa mwezi. Kodi...
  3. K

    Natafuta nyumba ya kupanga Arusha

    Salamu nyingi wadau wa Jamii forums. Kuna nyumba ya kupanga kwa Mworombo, Arusha (6km) kutoka City center. Ni nyumba yenye vyumba vitatu (3) Master moja+vyumba viwili vya kawaida na sebule kubwa sana. Ina jiko kubwa na uzio na usalama ni wa hali ya juu. Nyumba inapangishwa kwa Tshs 160,000/-...
  4. K

    Nyumba ya kupanga Arusha

    Salamu nyingi wadau wa Jamii forums. Kuna nyumba ya kupanga kwa Mworombo, Arusha (6km) kutoka City center. Ni nyumba yenye vyumba vitatu (3) Master moja+vyumba viwili vya kawaida na sebule kubwa sana. Ina jiko kubwa na uzio na usalama ni wa hali ya juu. Nyumba inapangishwa kwa Tshs 200,000/- tu...
Back
Top Bottom