Search results

  1. M

    Soya inasababisha cancer?

    Leo tukiwa katika mazungumzo ya hapa na pale katika kituo changu cha kazi nimestuka kusikia kuwa lile ganda la Soya linaweza kusababisha kansa! Kwa kweli nimestuka sana manake watoto wangu nimekuwa nikiwatengenezea lishe iliyochanganywa na Soya! Nilichokuwa nafanya ni kukaanga tu ile soya ili...
  2. M

    Nimsaidieje mdogo wangu? Tafadhali naombeni ushauri wenu wanajamvi.

    Mimi ni mtumishi wa serikali ngazi ya mshahara TGTS D,nimeolewa na nina mtoto mmoja, pia ninaishi na watoto wengine wawili ambao tunawasomesha secondari. Kwa ujumla maisha ni magumu ukilinganisha kipato na hiyo extended family. Tatizo langu ni kwamba nina mdogo wangu wa kiume ambaye alimaliza...
Back
Top Bottom