Search results

  1. grand casual

    Kwa wanandoa na watarajiwa

    [emoji427]SWALI[emoji427] Quraan inasema "arrijaalu qawwaamuna ala nnisaa" je mume akishindwa majukumu ya nyumba mke afanye nini? Hayo yote ni majukumu ya mume: Chakula kodi ya nyumba ada ya watoto shule umeme maji tiba...? [emoji427][emoji427]JAWABU[emoji427][emoji427] [emoji676]Wanaume...
  2. grand casual

    Msaada tutani

    Habari zenu wandugu, Nina simu yangu aina ya TECNO H6 nilii-upgrade kutoka kit kat mpaka lollipop 5.1.1 tatizo lililopo hii OS haisomi laini yyote mwenye maujanja aokoe hili jahazi!
  3. grand casual

    Hii lugha hii!

  4. grand casual

    Wanaume wa wapi Hawa?

  5. grand casual

    Titanic!

  6. grand casual

    Msaada laptop yangu imekataa Kabisa kuwaka.

    Habar za mchana wakuu, Laptop yangu ni Aina ya dell vostro 1200 mwanzo ilikua na tatizo LA kuzima yenyewe hata kama ilikua haijapata joto Sana, sasa basi tokea juzi haiwaki kabisa. Msaada wakuu unahitaka!
  7. grand casual

    Nitumie viuatilifu gani kupalilia mahindi?

    Wakuu habar za jioni! nahitaji msaada wa dharura kwa wenye uzoefu. Naomba kujulishwa ni aina gani ya kiuatilifu naweza tumia kupalili mahindi ambacho kinaangamiza ndago na nyasi?, nilitumia 2,4 D haikusaidia kitu msaada tafadali
  8. grand casual

    Wafanyakazi wa pptl wagoma.

    Hatimae wafanyakazi wa kiwanda cha pptl mkoani Tanga wamegoma mchana huu kutokana na kutopatiwa mishahara ya mpaka Leo his tarehe 03/10/2015. Pale mkurugenzi wao alipowaambia mpaka tarehe 07/10/2015.
  9. grand casual

    computer yangu imegoma kuwaka!

    Habar wakuu! Nina computer yangu dell vostro 1200 tokea Jana usiku ukiwasha inandika starting window. halafu inaanza tena na tena. wajuzi niombeni msaada jinsi ya kufix hill tatizo.
Back
Top Bottom