Search results

  1. N

    hadithi ya nimeoa mwanamke jini sehemu ya nne inaendelea

    najiri akasogea kwangu na kunishika mabegani,ghafla mavazi mazuri ya rangi ya kahawia yaliposhuka na kujivika mwilini yenyewe,kwa kweli mambo yalienda mtindo wa mazingaombwe,ndipo nilipata ruhusa ya kumvisha pete mwanamke mlembo huyo jini najiri,kwa maneno matamu yalijaa mwangwi akisema,sasa...
  2. N

    hadithi ya nimeoa mwanamke jini inaendelea,sehemu ya tatu

    ninachosema kuwa maneno yale yaliyotoka kinywani mwa najiri yaliniacha kinywa wazi ni kwa sababu haiwezekani jini kuolewa na binadamu,najiri alizitambua fikra hzo ,na akadai amechagua niwe mume wake na ameamini sitomsaliti,ama kweli ukistaajabu ya binadamu utayaona ya majini!kumbe nao wanaogopa...
  3. N

    Mwendelezo wa hadithi: Nimefunga pingu za maisha na mwanamke jini

    kwa kweli nilipigwa na butwa kuona mazingira yale,najiri aliligundua hilo,kwa sauti ya upole najiri akaniuliza'unashangaa nini mume wangu wa ndoa'?kwa kweli ni maneno ambayo yaliushtua moyo wangu kuniita mume wake,kwani ni ajabu dini kuolewa na binadamu,nilitaka kumhoji maswali kadhaa najiri,kwa...
  4. N

    Nimefunga pingu za maisha na jini

    UKWEL HALISI WA MAISHA YANGU naitwa jey,nimezaliwa mwaka 1990,mkoani iringa,nina umri wa miaka 26,nimeishi kwa shida sana katika maisha yangu yote kwan nilizaliwa peke angu ila usiku nilikua na rafiki mtoto wa kike ambae hakuonekana mchana ila usiku tuu,alikua akinishtua sana hasa wakati akija...
  5. N

    Natafuta Mchumba, nimeatach na picha yangu

    Mimi Ni Kijana Wa Kiume,nina Miaka 27,elimu yangu ni Diploma, mimi ni mkristo, ninatafuta mchumba wa kike, sura ya kawaida, mkristo, elimuyoyote, umri asizidi miaka 26, tuwasiliane kupitia 0763175935
  6. N

    Walimu waboreshewe maslahi

    BRN ndo mchawi wa elimu kabisaaa!
  7. N

    Wale waliochaguliwa Chuo cha Ualimu Mtwara tukutane hapa

    Namshukuru mungu sana nimekoswa na panga la serikali, nimechaguliwa kujoin mtwara teachers college, waliochaguliwa wengine tuwasiliane kupitia 0763175935
  8. N

    Naomba mniangalizie hili jina kwenye selection za Ualimu

    nimeona jina langu jaman,nimechaguliwa kwenda chuo cha ualimu mtwara
  9. N

    Ukwel kuhusu Mafunzo ya Ualimu ngazi ya cheti

    Polen na kazi wapendwa, pia poleni na stress kwa kile ambacho wizara imefanya, kusema ule ukweli mim niliamua kuwasiliana na mkuu wa chuo Tukuyu, akanambia wakuu wa vyuo vya ualimu vyote wameletewa barua zenye taarifa ya kufutwa kwa mafunzo ya ualimu ngaz ya cheti, na akasisitiza kuwa majina...
  10. N

    Naomba mniangalizie hili jina kwenye selection za Ualimu

    Niliaply ualimu diploma, jina ABEL G KIKIMBA, nimesoma madibira 2013 na nilipata two, nilituma maombi wizara ya elimu.
  11. N

    Natafuta ajira English Medium Schools

    au nipe namba zao za simu mwanangu,nakuomba
  12. N

    Nyonyo lampoteza Mwanaume

    Hahaha hatari
  13. N

    Nyonyo lampoteza Mwanaume

    chezea nyonyo wewee!utashukia kibaha badala ya moro
  14. N

    Mrembo na Pizza, Burger & Sausage!

    waumbuke hao wanajifanya mastaa sana,wakome
  15. N

    Cheka unenepe!!!

    wee ni noma,nimechekaje!
  16. N

    Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

    mwanangu yasije kuwa ya bundi,manake kuyapata mayai ya kwale!
Back
Top Bottom