Search results

  1. F

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    Asante. Ila huyo kama hatakuja na majibu ya kuudhi na kukatiaha tamaa. Tumwombe sana Mungu iki aeleweke
  2. F

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    19 ya mwezi gani..? Na atakuwa anongea nao kuhusu nini..? Fafanua zaidi tafadhal
  3. F

    Kukosa mkopo kwa zaidi ya wanafunzi 28,000 ni janga la kitaifa

    Umeona......... Bas tu kumwachia Mungu.
  4. F

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    wanafunzi hao wamefanya vizuri saaaaaaana. hata kama hawakuonana na viongozi waliowataka ila wameonyesha nia na lengo lao. Mwenyezi Mungu azidi kuwatetea na kuwasimamia. Nimefurahi sana. Hata wasipopata mkopo wao lakini ndo wamefungua mlango wa wadogo zetu walioko chini kutengewa bajeti ya...
  5. F

    Wale wa ku-appeal bodi ya mikopo

    Inavyosemekana ni kwamba kuappeal huwa ni mwezi wa 12 ukishasajiliwa na chuo. Ambapo bodi ya mikopo huwa inatoa nafasi kwa wanafunzi wanaotaka kuappeal. Ninachojiuliza, je mwaka huu appeal itakuwepo? Hapo sijui au hatujui. na ikitokea ikawepo italeta picha gan kwa serikali au bodi ya mikopo...
  6. F

    Majina HESLB yaongezwa

    hata kabla ya kuangalia. ww utaendaje chuo na huku hujafanya hata ntihani wa form four
  7. F

    TCU vipi majina bado walioomba Transfer?

    si walisema watawatumia taarifa kwenye simu zenu. kwa hiyo kama hujatumiwa basi bado
  8. F

    Ushauri kwa waliokosa mkopo

    umeshauri au umefanyaje. mbona hujaeleweka... kusoma kwa stress ndo ushaur au..?
  9. F

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    ni woga tuuuuuuuu. poleni Mungu awatetee.
  10. F

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    vizur. kwa hiyo kuna matunaini ya waliokosa kupata mkopo..?
  11. F

    NACTE na TCU wanaitaji ushauri wako

    ila ndugu yangu sio kwamba waliokosa mkopo ni wale wa diploma tuu. hata six leaver. so unaposema NACTE&TCU kutoelewana ndo maana watu wamelosa mkopo inachanganya akili vip wale walioaply moja kwa moja TCU na wamekosa mkopo tatzo lao ni nn sasa. je hapo TCU hawaelewani na nani? Na taarifa za...
  12. F

    Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    aya. vp tupe habar nmeandamana..? je, mmepewa majbu gani?
  13. F

    Majina HESLB yaongezwa

    Jaman mm nnavyoendelea kufungua loan allocation yaani hamna kitu hata ule ujumbe wa budget exhausted hauji tena Sasa tatizo linaweza kuwa lipi, jamani nisaidieni ndg zangu.
  14. F

    Majina HESLB yaongezwa

    hv had leo bado wanatoa...... means mtu akiangalia anaweza kukuta amewekewa au.....
  15. F

    TCU transfer application

    Thanx a lot. and be blessed.
Back
Top Bottom