Kweli bhana ajitokeze japo tu asikie kuwa kuna kijana anamfikiria kwa kweli,yaani japo anipigie hata simu tu au kama kuna mtu ana namba yake japo nimtumie meseji tu ya kuwa NAMPENDA
yule mtoto haki ya mungu mimi nishakufa nikaoza kwa kweli ule mgongo na ile miguu,mwanya ule kidogo na kicheko kile mi ntatangaza ndoa aiseee,Dinazarde mfikishie WELU SENGO ya kuwa NAMPENDA HASWA TOKA NDANI YA MOYO!!!
Kwa muda kidogo sasa nimekuwa nikifuatilia movie za kibongo, kuna huyu dada anaitwa WELU SENGO,nimetokea kumkubali sana kwa namna anavyoigiza na ana uwezo wa kuuvaa uhusika wowote atakaopewa,pia yuko smart kwenye lugha haswa anapoongea lugha ya malkia Elizabeth lakini mwisho kabisa ni mrembo...
kaka jagarld na kobori ofisi ya mkuu wa mkoa pale waliihamisha baada ya kuungua moto kwa hiyo kwa sasa ofisi ya mkuu wa mkoa inapakana na ofisi ya CCM makao makuu kwa upande wa chini na baada ya ofisi ya mkuu wa mkoa ndiyo inafata TRA ndugu zangu
kaka kwa urahisi ofisi ya mkuu wa mkoa Dodoma iko karibu na ofisi ya CCM makao makuu ukiwa Nyerere Square hapo ukiona bango la CCM makao makuu bhasi ofisi inayofuata ndiyo ya mkuu wa mkoa,AHSANTE
Jamani tusitoe tuhuma kwa namna yeyote ile maana wao ndo waajiri na wanajua ni nini wanakifanya kiukweli hakuna ambaye anapenda kutokuitwa kazini lakini naamini lipo linalowapelekea jambo kuchelewa na pia tujue lazima watakuwa wanajipanga kwa ajili ya kujenga mazingira mazuri ya kazi,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.