Search results

  1. SHAIDI

    Nahitajii hii mashine haraka

    Nahitaji induction motor. 30hp three phase, 1470rpm Budget 800,000tsh iwe katika Hali nzuri, nipo dsm 0715034565
  2. SHAIDI

    Msaada waliosoma Biashara /Masoko ngazi ya diploma.

    Habari wana jamii, kwa mda mrefu nimekuwa na ndoto ya kujifunza mambo kadhaa kwenye courses za biashara kwa ngazi ya certificate/Diploma leval hivyo ninaomba kwa yoyote anaesoma au anaejua topic za business administration/ Marketing naomba anifahamishe nataka kusoma kwa lengo la Kuongeza maarifa...
  3. SHAIDI

    Msaada kwenye Tuta wa kupima wa Morogoro.

    Habari, Baada ya Hali kuwa ngumu hapa Mjini Dsm nimefikiri naweza a nzia shambani kwa kuwa Dsm na Morogoro ni karibu hivyo naomba kufahamisha mambo kadhaa 1. Naomba kujua sehem Nzuri nayoweza Lima mahindi na maharage 2. Bei ya kukodi shamba kwa eKari au kama kuna jamaa anaweza niazima shamba...
  4. SHAIDI

    Clinical assistant Natafuta kazi sehemu yeyote Tanzania

    Habari, Mimi ni clinical assistant natafuta kazi kwenye health centre, Zahanati au Ng'o yoyote sehem yeyote Tanzania Nina uzoefu wa miaka 4 Pia ni mtaalamu kwenye upande counselling na Market. Cont 0715034565
  5. SHAIDI

    Naomba kujifunza kwa kuona na maelezo kuhusu kufuga Nguruwe

    Habari Naomba mtu yeyote anaefuga nguruwe nimtembelee na kuona ili kujifunza zaidi Naishi dar niko tayari kufika kokote pembezoni mwa dar kama mkuranga, rufiji, kibaha, mlandizi, morogoro na bagamoyo No 0715034565 nitashukuru kupata ushirikiano wenu.
  6. SHAIDI

    Ushauri: Mfuko mzuri wa hifadhi ya jamii

    Habarini wana JF, Mimi ni mjasiriamali ninapata kipato changu kwa kipindi fulani hasa pale biashara inapokuwa nzuri nikapata wazo la kujiunga kwenye mfuko mmoja wa hifadhi ya jamii kwa kuchangia pale nitakapo pata kipato cha ziada, tafadhari wana jf naomba kujua ni mfuko gani mzuri kwa...
  7. SHAIDI

    Vikindu, Kisamvule, Mkuranga, Mwalusemde au Kimanzichana naweza kupata....

    Habari wana jamvi, mimi ni mjasiliamali nimeanza kutengeneza mabanda kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe naomba kujuzwa kama naweza kupata vifaranga vya nguruwe maeneo tajwa hapo juu. hata kama nitahitajika kuweza oda ya vifaranga vya nguruwe au kama kuna mwanajamvi anafahamihana na mtu yeyeto...
  8. SHAIDI

    Benki ya FINCA na interest ya 14%

    Nimekutana na matangazo ya benki hii ya FINCA kwamba unaweza fungua account kwao na ukapewa interest ya 14% ukiwa ume diposit kuanzia 1 mil hadi mil 25, ukiwa juu ya hapo utapewa interst zaidi. Mimi binafsi naona inaweza kuwa njia sahihi ya kuwekeza kwa watu ambao awana mda wa kufanya shughuli...
  9. SHAIDI

    Ushauri wa hii project ya kilimo

    Habari wakuu; Naomba ushauri ni vitu gani (hints) za muhimu wakatiwa kuanzisha project za kilimo, natanguliza shukrani
  10. SHAIDI

    Tahadhari ya ushirikina kwenye biashara yangu

    Wana jf, katika harakati ya kjikomboa kiuchimi nilifikiri kuanzisha biashara ya kuuza chipsi maeneo ya tabata, niko kwenye mchako wa kutafuta location na nimepata kwa taadhari ya kwamba hapo nilipopata kuna watu walishafanya hii biashara lakin baada ya kipindi biashara inakufa nilitaadharishwa...
  11. SHAIDI

    Kurudia masomo ya Sayansi o-level: Chemistry na Biology

    wana jf nataka kufanya application kusoma degree kwa njia ya equivalent, nina credit mbili za o leval physics na mathematics lakin nimesikia kwamba kama auna credit tatu huu mpango auwezekani nahitaji kurudia hayo masomo(chemistry na biology) ambayo nina ufahuru wa D, kwa kuwa nimesoma course za...
  12. SHAIDI

    Nahitaji kuwa na blog kama njia ya kujiajiri

    Wana jf naamini akuna linaloshindikana humu ndani, nahitaji kuwa na blog kama njia ya kujiajiri nahiatji kujua machache toka kwenu wapendwa, tofauti na computer na access ya mtandao ni jitiada gan mimi nitatakiwa kufanya ili nifanikiwe ideas nimepata blog i deal na nini? na nani anaweza...
  13. SHAIDI

    Diploma in Clinical Medicine kwenda Shahada ya Chemical and Processing Engineering

    Habari ya asubuhi. wana jf naomba kwa yeyote anaefahamu kama kuna uwezekano wa kusoma degree ya chemical and processing engeering kutoka kwenye diploma ya clinical medicine (clinical officer) naomba anijuze. Kwa sifa za o leval certificate na diploma ya clin medicine kama kuna uwezekano...
Back
Top Bottom