Search results

  1. Kibanga

    Serikali imejibu kuhusu chaneli za nyumbani kurushwa bure

    Enzi za analogia ndo ilikua free to all. At this time digital imeongeza garama za maisha.. Mtu ana TV Ila inabidi achek tu CD maana hela ya kifurush hana. Enzi zetu ukiwa na TV unachomeka tu antenna unakula channels for free.
  2. Kibanga

    Mabati ya rangi/sunshare kwa price list ya kiwanda

    Bei bado zpo hivi au kuna mabadiliko?
  3. Kibanga

    Polisi Kitengo cha Dawa za Kulevya Inawashikilia maofisa 2 wa TRA kwa kujihusisha na magendo

    Kama haukulipiwa kodi ndo kutakua na kesi ya kujibu. But kama umelipiwa kodi mwenye uelewa wa kutambua athar za mzigo ni officer wa TFDA au officer from chemical department. Hawa ndo wana authorize import ya chemicals na drugs. TRA ni maswala ya kodi na kuchek procedure zmefatwa
  4. Kibanga

    Polisi Kitengo cha Dawa za Kulevya Inawashikilia maofisa 2 wa TRA kwa kujihusisha na magendo

    TRA huwa wanautaalamu kwenye maswala ya kodi. Hapa mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) ndo wanautaalam zaid kuhusu hizo chemical. Kama walikagua mzigo na kuurusu officers wa TRA watakua safe kabisa
  5. Kibanga

    Jeshi la Polisi Jiji la Mwanza walinishikisha BASTOLA kwa nia mbaya

    Sasa hapo watasema wamekukuta na bastola wapii? Maana umeishika na kuiacha polisi umo umo.. May b wangekushikisha mtaani.. But ndan ya kituo cha polisi naona haimake sense kabisa. Na pia polisi wanakushikisha kitu afu wasubiri kwa 4 years ndo waraise issue..? I think it is not possible.
  6. Kibanga

    FREEMASON :Vijana tuweni makini sana

    ulitumia akili sana.. safi sana !
  7. Kibanga

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Kuchomekea ishu ya utajiri ni kutaka tu kumtoa relini.. Amalize kwanza haya ya drug dealers ya utajiri yatakuja tu baadaye..
  8. Kibanga

    Yatasemwa mengi, lakini Tundu Lissu anatumia akili sana kwenye harakati zake

    Huyu jamaa anatumia akili nyingi sana kufikiria cha kuongea. Na always anaongea point sana
  9. Kibanga

    Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

    Safi sana Mr president.. Tumepoteza nguvu kazi ya taifa vyakutosha.. Hapa kazi tu sambamba na kujali nguvu kaz icpoteee..
  10. Kibanga

    Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Mkuu wa mkoa kafanya initiative kwenye swala hili ambalo ni tatizo kubwa.. Viongoz wengine wanatakiwa wamsupport.. Hii ni vita kitaifa but akiachiwa mkuu wa mkoa pekee na kuendelea kukosolewa kwa jitihada zake, ktakua hakuna mafanikio na vita hii itaishia hewan tuu..
  11. Kibanga

    Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Hivi c inawezekana kukusanya pia mateja wakapelekwa central na wenyew wahojiwe wananunua wapii ili kupata chain ya wauzajiii..
  12. Kibanga

    MADAWA YA KULEVYA: RC Makonda na Kamanda Sirro waongea na wanahabari

    Mwanzo mzuri RC.. Hope hii operation itakua non stop hadi chain nzima ifikiwe..
  13. Kibanga

    Yabainika: Mjane wa Tanga aliyemlilia Rais Magufuli si tapeli. Nyaraka nyeti zaibuliwa

    Ka ni tapeli c kwa ujasiri ulee.. Uchunguz ndo msemakweli hapa..
  14. Kibanga

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Dr slaa namuelewaga sana.. strong man with self determinatin.. haipend ccm na pia hamkubali lowasa.. I know that since long tym. I want him to be like political analyst.. IF HE NEITHER LIKE CCM NOR LOWASA HE MUST SPEAK OUT WHO HE PROPOSE.. aongee yoteee but sema sasa kwa hali ilivyo nan anafaa....
  15. Kibanga

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    But kiukweli watu wa jana may b nusu ya ukawa.. ukawa no vitii.. ni mtu na mtu.. viti jana vilikula space sana xo vimesaidia kujaza mafuriko
  16. Kibanga

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Post znanipa raha kweli.. hii movie kali..
  17. Kibanga

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Acheni siasa za mitaroni.. mm mtu wa ruvuma mnaniambia nini.. toeni hoja.. mlimkubali sumaye akiwa ccm kahama mnaleta ukanda.. akihama kingunge c mtasema kazaliwa monduli????? Hamjanishawishi kwa hii post na nna mashaka na elimu ya mwandishi
  18. Kibanga

    CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Wewe hujielew.. point yako hapo ipiii... we are tired with monopolisation of tz politics..mabadiliko ni muhimu... since Uhuru walewaleeee...
Back
Top Bottom