Search results

  1. mm1

    Jamaa ana moyo mugumu zaidi ya farao

    Katika list ya watumishi wasio na vyeti I mean walioandikiwa incomplete yumo jamaa yangu,ni mwalimu wa shule ya msingi ila ndo hivo alipita njia za shortcut kusoma ualimu hadi akapata kazi.Namfahamu vizuri wala sio kwamba labda wamekosea kumbaini maana o level alipata bashitenic grade,zero...
  2. mm1

    Sina cheti ila natumia cha jamaa yangu. Je, niko salama?

    Kuna jamaa yang yuko njia panda kwa kweli.Kipindi wanakagua vyeti yeye hakuenda kukaguliwa hata siku moja.Orodha ya waliogushi vyeti yeye hayumo,shida anawaza yuko salama kweli kwa hili fagio la Magufuli? Mbaya zaidi ile list ya wanaotumia cheti kimoja watu wawili haikutolewa hadhalani.Kwa...
  3. mm1

    TAARIFA KWA ANAYEHUSIKA

    Taasisi ya uhakiki wa mvua duniani(Taumdu) inapenda kutoa taarifa kwa yeyote anayetegemea rasimali ya maji yatokanayo mvua za misimu yote ya Mwaka 2016/2017,kuwa hakutakuwa na mvua hasa NCHI ya Tanzania baada ya kubaini Kuna urasimu Mkubwa unafanyika katika sector nyingi nchini ambapo watumishi...
  4. mm1

    Tuombe toba, ukame huu wa mvua si wa kawaida

    Habarini wana JF, Hali ya mvua Mwaka huu ni tete sana % kubwa ya maeneo yanayotegemea mvua za vuli haijanyesha msimu huu. Nafikiri kuna kla sababu ya kujitafakari na kuomba toba mbele za Mungu aliye hai kwa machukizo tuliyoyatenda Mwaka huu. Viongozi wa dini na serikali nashangaa wako kimya tu...
  5. mm1

    Hongera Rais Magufuli kwa kutupunguzia mabishoo mtaani

    Usawa huu wa mh magu nmeupenda sana, mabishoo wamepungua kwa kasi sana waliobaki ni vichwa ngumu kweli kwao somo la nyakati walishafeli totally. Ama kweli mia tano tutaacha kuiita jero, book tutairudishia utukufu wake wa kufahamika kama sh.elf moja. HAPA MSOTO TU.
  6. mm1

    Hawa NACTE wanaibia watu au nini hiki?

    Kupitia CAS ya NACTE deadline applications za degree mwisho mei 31 mwezi huu,ukianza kuaply katka ile hatua ya kuchagua chuo, list ya vyuo vikuu haiji.Hata taarifa ya mabadiliko yoyote hawajatoa kwenye web yao.Tatzo ni nini? ama mpango umepangwa kuwaibia watu hela? mwenye ufahamu anijuze
  7. mm1

    Watu wa Dar na kingereza cha hapa na pale

    Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi. Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani kero tupu.Mabishoo nao ndo kabisaaa! Wanachafua lugha ya malkia. Kama ukiamua kuchana yai chana...
  8. mm1

    Clouds Media watapotea sokoni kama Sahara Media

    Clouds media walikuwa wanakuja vizuri sana TZ na East Afrca katika soko la media,tatizo la kufukuza fukuza watu na bifu zisizo na msingi watapotea kama Sahara Media walivyopotea sasahivi.
  9. mm1

    Hivi hili tangazo la kazi Bodi ya Pamba lina maana gani?

    Katika matembezi yangu ya hapa na pale leo nikaona siyo mbaya niperuzi kidogo kwenye web ya bodi ya pamba, nimeperuzi weee mwishoni kabisa nikaingia kwenye uchochoro wa humo TCB unaitwa vacancy, kuchek nikakuta vacancies kibao ila hazina dead line for applaying, sjui n za long sana i don knw...
  10. mm1

    Magufuli ameiona Bariadi lakini hakuiona Kishapu

    Halmashauri inayoongoza kwa ubadhilifu wa fedha za walipa kodi nchini TZ ni KISHAPU YA MKOA WA SHINYANGA.Mbunge,madiwani na watendaji wa halimashauri hiyo wote ni wapiga dili,naskia mbunge huyo kakimbilia MUSCAT OMAN baada ya kampuni lake linalojihusisha na shughuli za mgodini kukumbwa na...
  11. mm1

    Kama hujui group dynamics uko sahihi kuwalaumu UKAWA na Zitto

    Tambua political party ni group la watu wenye common interest (kushika dola).Group lolote lina stage zake za ukuaji,stage ngumu ni hii inaitwa "conflincting stage" Hapa group linafarakana hata kufikia hali ya members wa group kjitoa.Ninachokiongea watu wa comunity developments wananielewa,suala...
  12. mm1

    Tufanyaje tuwe na Tume huru ya Uchaguzi kama Kenya?

    Nchi za wenzetu eg.kenya na nigeria ujinga ujinga wa kudhulumiana kura umeshapitwa na wakati,just imagine maajabu ya Zanzibar mwenyekiti kapewa agizo na bosi wake afute uchaguzi. Tutumie njia gani ili tupate tume huru, ukisema toka bungeni haiwezakani kwasababu wanaofurahia hii tume ni wale...
  13. mm1

    Kishapu: Mahakama za mwanzo zinakula rushwa kama mchwa, CCM inazidi kuchukiwa

    Nimekuwa Kishapu shinyanga kikazi almost one year now. Kwakweli mahakama za mwanzo huku ni Hatari sana,mahakimu wanakula rushwa na ni waonevu sana. Sidhani kama mahakama ya mwanzo inao uwezo wa kutoa hukumu ya faini million 3 au jela miaka 6 kwa kosa la family conflict tu. Hakuna haki...
  14. mm1

    Uhusiano wa ukame wa mvua na Uchaguzi mkuu Oktoba

    Kama mna kmbukmbu nzuri,miaka ya uchaguzi kunakuwaga na ukame sana maeneo mengi ya TZ.Kuna uwezekano mkubwa kuwepo kwa uhusiano flani wa kiroho na hii hali, Either Watu wanatambika sana na kutoa kafara kias kwamba wanamchkiza JEHOVA au wanaweka matambiko ya kuzuia mvua isinyeshe ili wananchi...
  15. mm1

    Rais Kikwete na slogan ya uongozi kwa vijana, Faida kwa Mwigulu Nchemba

    Rais Kikwete ana siri nzito sana kuhusu urais mwakani,kuna uwezekano mkubwa NCHEMBA akapewa tiketi kuwania urais CCM 2015,ikumbukwe kwamba Nchemba ameji-tune baada yakukurupuka na siasa za kuchafuana,alianza kukichafua CHADEMA kwa ugaidi,baada ya kusoma nyakati amebadilika na kuwa mtu wa kuwa...
  16. mm1

    Mafisadi mashuhuri wanavyomonopolize utajiri wa mkoa wa Shinyanga

    1.Rostam- Ana gold and diamond plant,kapewa bure na Mkapa 2.Lowassa- Ana hisa kwenye makampuni ya kununua pamba,yeye ndo final say kuhusu bei ya kununulia pamba,pia ana mgodi Mwadui. 3.Kikwete- Aana gold and diamond plant,anajipakulia tu 4.Mkapa- Ana share kwenye plants zote za migodi ya mkoa...
  17. mm1

    Mbunge wa jimbo Kishapu hafai kuwakilisha jimbo hili

    WanaJF habari zenu! Mimi sio mzaliwa wa jimbo tajwa hapo juu ila ni mfanyakazi wa halmashauri iliyomo ndani ya jimbo tajwa hapo juu. Mbunge wa jimbo hili hafai kabisa 100%.Life standard kwa watu wa jimbo hili ni yakusktisha sana,maji shida,umeme taabu,huduma za afya hakna,barabara usiseme...
  18. mm1

    Mikoa ya Mwanza,Shinyanga,Kigoma,Mara na Tabora ilivyobaguliwa kimaendeleo

    Habari zenu wana jf,Ni dhahiri kabisa mikoa ya kanda ya ziwa ndiyo mikoa inayoongoza kwa kuwa na rasilimali nyingi TZ,kuna migodi mingi mikubwa inayotambulika kitaifa na kimataifa,buzwagi,bulyang'ulu,ggm,mmwadui,nyamongo,na mingine mingi ambayo inafika takrban kumi kwa idadi. Vilevile tuna...
  19. mm1

    Walimu na Wanafunzi wa Kishapu Sekondari, wamekithiri kwa ngono

    Kishapu sec. ni Shule ambayo inapatikana katika Wilaya inayoongoza kwa ufisadi Tanzania, wilaya ya Kishapu ipo Shinyanga. Kishapu ina Walimu wengi sana, tatizo hawajawa trained kufundisha taaluma mbali k kuharibu watoto wa kike. Kuna walimu wanaharibu hii shule. Watoto wameathirika...
Back
Top Bottom