Search results

  1. Pomboo

    Maajabu ya nyota aina ya comets

    Asteroid
  2. Pomboo

    Kagera: Ifahamu familia inayoamini kumiliki Simu, TV na kwenda Shule ni dhambi

    Mkuu ulikuwa unatuonaje Wahaya, type zote za watu zipo kabila kubwa hili. Sio kila mhaya ni Ruge au Rugemalira.
  3. Pomboo

    Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    🤣 Amarok vs Vitz
  4. Pomboo

    Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

    Ila sisi wabongo! Kweli tutafika ikiwa tunaendesha mpira kwa kusikiliza maneno. Mtazamo uwe mpira wa kibiashara Maneno watu watasema tu. Hili la Mkude hakukuwa na sababu ya kutoa 'taarifa kwa umma' Pamoja kuwa Mimi ni shabiki wa Simba ila mo mshamba Sana dah!😄
  5. Pomboo

    Nyimbo mpya ya Harmonize(wapo) ni kali sana

    Nimesoma zile 'lyrics' Kusema kwamba ni vijembe naona ni hisia tu. Ni ujumbe 'general' sana. Vingenevyo ni hisia zetu tu wanadamu.
  6. Pomboo

    Natafuta mchumba wa kunioa

    Ngara Kuna washubi na wahangaza Wanyambo ni Kyerwa na Karagwe Weka rekodi sawa
  7. Pomboo

    Unakumbuka Jolly jus enzi hizo?

    Ilikuwa fanta Jimihumuhumunukunuku apuaa
  8. Pomboo

    Fahamu leo

    Night Club in London
  9. Pomboo

    Si kila anayetoka Kagera ni Mhaya

    Katika wilaya zote za Kagera Ngara ipo good Sana landscape yake
  10. Pomboo

    Si kila anayetoka Kagera ni Mhaya

    Unapajua Kyanyamisa? yupo sahihi ukitoka Rusumo unakuja Benaco then unaingia pori la Kimisi hapo Kyanyamisa ndio barrier ya mwisho ya polisi na ipo wilaya ya kyerwa ukitoka hapo unaitafuta omurushaka Karagwe.
  11. Pomboo

    Si kila anayetoka Kagera ni Mhaya

    Ulifika Hadi pande za Ngara 🤔
  12. Pomboo

    Nazungushwa kesi, Mpelelezi anapost Whatsapp picha anakula bata na dada ninayemtuhumu

    LwandaMagere kaweza🤣🤣🤣 Kimkakati haswaa.
  13. Pomboo

    Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

    Soma vizuri This time nlitumia kama 170,000 kununua mazaga zaga kwake. Hizo hella alitumia pale dukani sio kwamba alituma.
  14. Pomboo

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Yuko wapi siku hizi Siajali Aliniacha form two pale Boys. Mtu Safi Sana.
  15. Pomboo

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Inaonekana huyo mwanamke alikuwa mashalaa kweli😀 Mpaka Lwandamagere akikumbuka tafsida inahama. Tuvumiliane tu. Hata hivyo anajitahidi Sana ukizingatia kasema sio mwandishi professionally.
  16. Pomboo

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Sema the Bold hachelewi kusema itaendelea kwe group la WhatsApp Ila yupo vizuri pia
  17. Pomboo

    Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuuita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina ya Kiingereza?

    Etymology. The country was named Moçambique by the Portuguese after the Island of Mozambique, derived from Mussa Bin Bique or Musa Al Big or Mossa Al Bique or Mussa Ben Mbiki or Mussa Ibn Malik, an Arab trader who first visited the island and later lived there. Hiyo Musa Al big inaweza kuwa ndo...
Back
Top Bottom