Search results

  1. Mmavele jr

    Jordan University First Year 2016 tukutane hapa

    Majina ya waliochaguliwa jordan university kwa awamu ya kwanza na pili yameshatoka na kama wewe ni kati yao basi pita hapa tujuane na kwa whatsup group WASILIANA NA NO 0745709844 group lipo tayali
  2. Mmavele jr

    Nilitaka nisome education(arts) ila nimeghairi naomba transport and logistics management

    wakuu mi ni mhitimu wa form six HGL mwanzo nilipenda education sababu ilikua na priority na ajira ya uhakika kwa hali ilivyo sasa nimeona bora nisome logistic and transport sababu hata ajira za education zimeonekana ni shidaa sasa Kama kuna anaweza kunishauri pia .Nawasilisha
  3. Mmavele jr

    Naomba ushauri wa hii Bachelor of Education for Special Needs

    Wakuu naomba kujuzwa kuhusu kozi tajwa hapo juu soko lake lipoje na hasahasa naitaji ile ya watu wenye matatizo ya macho kwa harakaharaka nimeiona Sebastian kolowa memorial university. Nimemaliza form 6 na Nina DDE Napenda kuwasilisha kwa ushauri wenu
  4. Mmavele jr

    Bachelor of logistic and transpot ya nit

    Wadau naomba anayejua kuhusu koz hii pale NIT anielezee kiundani kama ina aply wap inahitaj point ngap soko lake la ajira lipo vip pia kuhusu mkopo inasumbua au iko poa
  5. Mmavele jr

    Msaada maombi vyuo vya afya

    Ndugu naomba kwa anayejua muda wa kutuma maombi kwenye vyuo vya afya tayari au bado, na kama bado ni lini itakua rasmi?
  6. Mmavele jr

    Msaada kuhusu health management

    Ningependa kujua hii fakat ipo vyuo gan vya serikali na ajira yake inahusika maeneo gan hasa kwa anayefahamu naomba anipe mwanga kidogo juu ya hii kozi mi nipo kidato cha 6 ningependa kuijua zaidi
  7. Mmavele jr

    Naomba msaada mwenye notes za advance za History na Geograph

    Naomba kwa mwenye nots za history au geography anisaidie pliz au kama kuna web naweza kupata hizo nots
  8. Mmavele jr

    I need someone who will love me

    :A S kiss::A S-heart-2:i need girl from jf who is under 21 in years so plz just find me on 0716468823:cool2:
Back
Top Bottom