Search results

  1. mtu muhimu

    Jinsi Ya Kufunga Sacket Mpya Kwenye Singsung

    Natumain Wataalaam Wa Jukwaa Hili Ni Mko Poa, Naomba Maelekezo Jinsi Ya Kufunga Sacket Mpya Kwenye Tv Ya Sinsung (flat Mbele) Nilivyofunga Mm Naona Inanizingua, Haijazi Kioo. Nawasilisha
  2. mtu muhimu

    Nitawezaje kurekebisha rangi kwenye TV?

    Nina tv ya kichina kioo chake kinaonesha picha za kupauka, ukiwasha ina rangi ya blue iliyopauka halafu maandishi yana kivuli hayasomeki vizuri. nimejaribu kufunga saketi mpya lakn bado tatizo lipo pale pale. Naomba msaada wenu wakuu, kama kuna uwezekano wa kurekebisha rangi kwenye kioo chenyewe.
  3. mtu muhimu

    Naomben Ushauri kuhusu Saket Ya TV ya Kichina

    Saket Ya TV Yangu Inanizingua Kupima, Inachoma Lakini Bulb Inawaka Moja Kwa Moja Haizimi, Kitu Kingine Sijajua Hizi Zeenar Diode Huwa Zinapima Volt Ngapi
Back
Top Bottom