Search results

  1. S

    Revealing: TANESCO inaidai IPTL Tshs Bilioni 321...

    Nchi ya majuha hii na walalamikaji kila cku bila kuchukua hatua,hili litaisha hivi hivi tu sasa kama report inakwepa kuwataja wahusika unategemea nn hapo,au aliyefanya uchunguzi wa report hyo nae kishapokea rushwa?
  2. S

    Ufisadi wa Escrow: Gazeti la Mwananchi mnatia aibu

    Mtoa mada naona una chuki binafsi na gazeti la mwananchi,kusema kweli mwananchi ni moja ya magazeti yanayofanya vizuri sana hapa bongo hawapendelei upande wowote kama.ni habari wanadadavua vizuri,sasa nakushangaa unasema tusisome mwananchi ebu toa hoja ya kueleweka ili tujue
  3. S

    Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    We unatka argument zipi ndo uamini ssa kaa hvo hvo huku nchi inaendelea kufinyangwa na magamba ya lumumba
  4. S

    BAKWATA itakufa CCM ikiondoka madarakani

    Kweli sasa mambo yamebadilika badala ya kujadili mambo ya msingi wasomi tunaanza kujadili dini ebu tuache hayo mambo kule yanakopaswa kujadiliwa bana,ni jambo la aibu sana kuibua hoja za kuleta mfarakano katika jamii zetu,napita tu ctaki maswali
  5. S

    Bandari watumia bilioni 9.6 kikao cha siku moja

    Mkuu wa chuo cha mbeya university of science and technology
  6. S

    Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

    Waarabu ndo waliwauza huko kama bidhaa umesahau ama hukusoma historia
  7. S

    Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

    Mkuu mwarabu hafai wala hana chembe ya ubinadamu,unaposema anawasaidia watanzania wanaoishi huko una uhakika gani yawezekana ni kutokana na utajiri wake kujionyesha kama anawasaidia kumbe hakuna lolote,nimevunjika moyo sana kusikia habari kama hii waarabu kuendelea kuichezea ikulu yetu tukufu na...
  8. S

    Diallo amlipua Lowassa

    Unajua cku zote mfa maji huwa haachi kutapatapa,diallo akubali yaishe kwamba siasa haziwezi na kama alishindwa na kijana mdogo kabisa highness kiwia sembuse lowasa cyo size yake kabisa,unajua anatumiwa na kundi fulani ila akae akijua yeye pia ni mmiliki wa vyombo vya habari sasa angalie asije...
  9. S

    Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Sana yani hata kuelewa haelewi yani taifa linakuwa na watu.wa aina basi hatima yetu huko mbele ni ngumu
  10. S

    Mabango yenye ujumbe kwenye ziara za Viongozi

    Nchi inaongozwa na watu wasiojali maendeleo ya watu wao ubinafsi umewajaa sana
  11. S

    Diallo amlipua Lowassa

    Ondoa fikra za ukanda na kumbuka kanda ya ziwa cyo wote wasukuma
  12. S

    Diallo amlipua Lowassa

    Diallo huwa hawezi kufikiri kwa kina yeye ni mwanachama wa ccm halafu ni kiongozi hakutakiwa kutoa kashfa kama hz ambazo hata hajasikia zikisemwa na el.cjui anafanya haya kwa faida ya kukiunganisha chama au kusambaratisha,naona ndo type akina paul makonda na wenzake samuel malchela
  13. S

    Diallo amlipua Lowassa

    Atafaa tu wala usipatwe na.pressure
  14. S

    Diallo amlipua Lowassa

    Hapo umenena mkuu membe hafai kabisa kupewa nchi hajulikani kama muislam au mkristo ni hatari sana kwa uwahi wa taifa
  15. S

    Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Kwa hyo mkuu wewe unaona nyerere hakufanya lolote katika nchi hii,mmoja wa viongozi waliokuwa na maono katika bara.la afrika yeye alikuwa ni miongoni mwao watu kama nkrumah,nelson mandela,samola macheli patric lumumba na wengine wengi lazima tuwaenzi bana,ndiyo yapo mabaya yao lakini...
  16. S

    Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Mtu wa pwani bila shaka utakuwa mzalamo au mndeleko unakuwa huna nidhamu kwa wakubwa na wazee waliotangulia mbele za haki,hv unaona tabu sana nyerere akisifiwa eeh,na mchango wa nyerere kwenye taifa hili hauna wa kulinganishwa nae,pengine kuna kasoro za hapa na pale na yeye alikuwa ni binadamu...
  17. S

    Pendekezo:Upigaji kura 2015 uende sambamba na upigaji kura ya maoni

    Hilo litasababisha ccm waweze kuchakachua kura za maoni iwapo itawekwa pamoja na uchaguzi wa rais na wabunge,kumbuka ccm wamekuwa wakijipanga sana kwa namna yoyote ile ilimradi washinde,hii refferendum ingefanyika kabla ya uchaguzi mkuu ili kuwanyoosha vizuri ccm na kwamba ingekuwa njia rais ya...
  18. S

    Pinda akiuka maadili agawa rushwa kwa dola za kimarekani

    Hivi kwa nn viongozi wetu hawana uchungu na hii nchi,hv ni watanzania kweli
  19. S

    Pinda akiuka maadili agawa rushwa kwa dola za kimarekani

    Hahahahaha ama kweli mkuu umetisha
  20. S

    Mgombea urais 2015 atinga Vatican

    Eeeh mungu ibariki tanzania
Back
Top Bottom