Search results

  1. pH 7

    Naweza kupata wapi mjusi mwenye kichwa chekundu?

    Bei maelewano ila naanzia Tshs 25000/- @ mjusi mmoja. Unataka mmoja tu? Unataka aliye hai au hata aliye kufa poa tu? Upo wapi ? kama upo Dar es salaam ni Free delivery!! Wa Mikoani gharama za usafiri ni kidogo Elfu kumi kwa Mjusi mmoja kama ni hai ila aliye kufa ni 20000/- gharama nyingine ni...
  2. pH 7

    Tuliofikisha G.P.A 3.5 MPAKA 4.5 tupongezane hapa

    Interesting!! :) :D Kipanga wa Diploma!
  3. pH 7

    Stop Violence!!!!!

    True That!!!
  4. pH 7

    Picha: Warangi ni warembo balaa!

    ha ha ha ha....Kanda mbili ya njanooo, imesuguliwa inang'aa hadi pa kukanyagia...
  5. pH 7

    Inakuwaje mwanaume kumuamsha mkewe usiku apikie rafiki zake?

    WALIO OLEWA WAPEWE POLE PIA.:A S 39: :busu:busu :sorry:
  6. pH 7

    Nauza mbwa wa kisasa wa ulinzi

    amaizing!!!:a s 41::a s 41::a s 41:
  7. pH 7

    Mawio: Habari kuhusu Wasira.

    Gazeti la Mawio, ukurasa wa 5 aya ya kwanza imesomeka kama kwenye picha ifuatavyo.
  8. pH 7

    Hii sasa imepitiliza jamani....

    Shiiit.... Umenikumbusha nadaiwa 100k mwisho wa mwezi huu.
  9. pH 7

    Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

    Nimemtafutia Msaidizi wake sasa hivi yupo njiani mkuu.
  10. pH 7

    Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

    Mkuu usihofu jamaa akipata nafasi atatuwekea attachment ya hicho kitabu, ila mpaka sasa hajanitumia.
  11. pH 7

    Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

    Shukran Mkuu.
  12. pH 7

    Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

    Inaelekea kabanwa na shughuli zi kijasiriamali maana hata bado hatujawasiliana nae. mara ya mwisho alikuwa safarini.
  13. pH 7

    Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

    Shukran Asigwa
  14. pH 7

    Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

    Sina ujuzi mkubwa na hilo tatizo mkuu, ngoja tusubir wadau kwa msaada zaidi. Ila itakuwa bora zaidi ukimtenga ili asisumbuliwe na wenzie. Maana wanatabia ya kudonoana wakiona damu.
  15. pH 7

    Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

    Mkuu ninaishi Mwanza.
  16. pH 7

    Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

    Mkuu, Una uhakika kaumia au ni dalili za magonjwa (kushusha mabawa)? Fafanua kidogo ili wadau wapate kukusaidia mkuu.
Back
Top Bottom